Mashamba ya kukodi na Kununua yanapatikana

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
857
394
Mashamba yanapatikana mkoa wa Pwani unaingilia Kongowe upande wa kusho toka Dar.Umbali toka Morogoro road ni km 10 na 12 kwa sababu yako maeneo tofauti.

Bei kukodi kwa heka iko kati ya 50,000 na 100000 kutegemea na eneo na ukaribu wa vyanzo vya maji.

Bei kununua inaanzia laki 9(900,000) kuendelea kwa heka.
Zipo heka za kutosha karibuni sana.

Mawasiliano:
0626446244
 
Mazao gani yanakubali kwa ardhi ya huko?
Mazao tofautitofauti yakiwemo mahindi,ufuta,mihogo,mbaazi,etc na kilimo cha umwagiliaji unaweza lima matunda kama mapapai,matikiti maji,etc
 
Mashamba yanapatikana mkoa wa Pwani unaingilia Kongowe upande wa kusho toka Dar.Umbali toka Morogoro road ni km 10 na 12 kwa sababu yako maeneo tofauti.

Bei kukodi kwa heka iko kati ya 50,000 na 100000 kutegemea na eneo na ukaribu wa vyanzo vya maji.

Bei kununua inaanzia laki 9(900,000) kuendelea kwa heka.
Zipo heka za kutosha karibuni sana.

Mawasiliano:
0626446244
Hiyo bei ya kukodi ni kwa muda gani?
 
Panafaa kujenga na kuishi?
 
Back
Top Bottom