Mashamba ya korosho mkoa wa Lindi

yongpal

Member
Oct 17, 2017
38
14
Habarini za leo wana Jamii Forums

Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.

Msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu juu ya hili.
 
Unataka shamba lenye mikorosho tayari ama unataka pori ufeyeke upande mikorosho?

Kama unataka shamba lenye mikorosho tayari jipange kwa hela nzuri.. maana hayo mashamba ndio uchumi wao na wengi wanao uza wanauza mikorosho iliyozeeka maana haina uzalishaji.. au wanauza kwa shida.

Muda mzuri wa kununua ni kipindi cha mwanzo wa mwaka.. sashibi wengi wameanza kupulizia dawa.. hivyo ni mpaka ubahatishe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unataka shamba kenye mikorosho tayari ama unataka pori ufeyeke upande mikorosho?

Kama unataka shamba lenye mikorosho tayari jipange kwa hela nzuri..mana hayo mashamba ndio uchumi wao..na wengi wanao uza wanauza mikorosho iliyozeeka mana haina uzalishaji..au wanauza kwa shida.

Muda mzuri wa kununua ni kipindi cha mwanzo wa mwaka..sashibi wengi wameanza kupulizia dawa..hivyo ni mpaka ubahatishe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nitafute kwa no hii 0734443887. Tujuzane vzr
 
Unataka shamba kenye mikorosho tayari ama unataka pori ufeyeke upande mikorosho?

Kama unataka shamba lenye mikorosho tayari jipange kwa hela nzuri..mana hayo mashamba ndio uchumi wao..na wengi wanao uza wanauza mikorosho iliyozeeka mana haina uzalishaji..au wanauza kwa shida.

Muda mzuri wa kununua ni kipindi cha mwanzo wa mwaka..sashibi wengi wameanza kupulizia dawa..hivyo ni mpaka ubahatishe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nataka mashamba ambayo hayana mikorosho nianze kupambana mwenyewe kutoka kufyeka mpka kupanda miche.

Maana hiyo iliyopandwa tayari nadhani ishatumika kama ulivyosema imeshazeeka mingi yao.
 
Back
Top Bottom