Mashairi ya Nikki wa Pili kwenye wimbo wa Niaje Nivipi ndio mashairi bora ya HipHop kuwahi kutokea bongo

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,219
Nikki wa Pili kwa Mara ya kwanza aliingia studio na kufanya kolabo na Joh Makini mwenye wimbo wa Niaje Nivipi na nathubutu kusema sijawahi kusikia mashairi mazito na yenye ujumbe kama haya katika ulimwengu wa hiphop. Tusiandikie mate na wino ungalipo yasome hapa.

"...Yeaah you are now rocking with the best, river camp soldiers in the building kama kawa records, Nick they can't man, guess whaaaat..."

/usiniite mtoto wa mama nimepitia nyingi shida, nimekulia uswahili usinitishie kuvuta wida/
/Wanajua machizi nimepona ngapi voba ama hiphop legendary kamanas Escobar/
/Nimeapishwa kwa damu iliyomwagika Soweto, ndio maana unaponisikia nanukia harufu ya gheto/
/Nimerithi nyingi dis kama kutowapenda polisi, what I need is peace/
/ Wazazi ukimwi msiupeleke nyumbani, serikali dhambi msizifiche chumbani ona damu ya wapiga kura inavuja msalabani/
/Lugha yangu ya mtaani ni ngumu sio rahisi, take easy man sio matusi au ukosee mkiniita jobless nabadilisha hizo pingu kuwa neckless/
/I'm in a hood what i need is jah bless, niwe strong sio weak kama blick and lace/
/Kimuziki napiga punch ngumu sio nyepesi ama liver camp soldiers let murder this case Mungu niepushe na false consciousness/
/Nipe usafi wa akili na nguo, maandiko na elimu ndio ufunguo usio-expire japo machizi wanasema pesa ndio ufunguo malaya mi sijui nani ni lier Nani ana tabia mbaya/
/Nivipi bro natabiri hawatonipenda, hakuna ajuaye kesho hata mtunzi wa kalenda/
/Usipime kama una alama ya tundu nyuma ya kaptula, washindi wa tuzo wanavuja kama fistula/
/ Huu ni muziki wa machizi hauwezi ukawa chakula, kimbia kama babuu na usipime hizi medula zipo hot/
...hakika Sanaa ameitendea haki sana...
 
Wewe ndiye demu wake?
 
Back
Top Bottom