Mashabiki wa Yanga wawanatakia kheri ya mwaka mpya

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU

Ni umoja miongoni mwa wanachama na mashabiki wa timu ya

YANGA AFRICA SPORTS CLUB
wanaosaidiana katika shida na raha mbali mbali pamoja na kujenga ushirikiano miongoni mwa viongozi wa YAGA MAKAO MAKUU na wanachama wengine


Group hili lilianzishwa 19/4/2015

Mazumuni ya kuanzishwa group hili yalikuwa

1) kusaidiana kuleta maendeleo katika kilabu ya YANGA

2) kusaidiana na kufarijiana katika shida na raha

3) kuwa karibu na Timu katika mashindano mbali mbali ndani na nje ya Nchi

4) kuwa na sare ambayo mwanachama ataivaa wakati wa mechi na wakati wa shida na raha pamoja na shuhuli za group ili kuleta maana zaidi ya familia moja


Group hili lina viongozi wanaoliongoza

Ambao ni
1) SHEKHA MOHAMEDY Mwenyekiti

2) Mick sanga M/mwenyekiti


3) EVODY PETER Katibbu

4) AMINA ATHUMANI
Mweka hazina/mhasibu

5) MOODY KABWE
Maswala ya habari


Group hili mpaka kufikia leo kuelekea mwaka 2016 limetimiza miezi 8

Hivyo basi tunapenda kumshukuru mwaenyezi mungu kwa kutufikisha hapa tumekutana na changamoto nyingi sana ambzo sehemu yenye binadamu hazikosekani.


Kuna tulioanza nao safari wengine safari imewashinda na wengine safari inaendelea hadi leo tunamshukuru mungu kwa kila jambo


Mafanikio yetu ni madogo sana
Binafsi hatutaweza kuyaweka hapa maana tunaona tulichoifanyia timu yetu ni.kidogo sana tena sana kwaiyo hatuwezi kujisifu
Ila tunawajipongeza kwa ushiriki katika timu yetu.katika maswala mbalimbali ya timu tulipohitajika


Mapaka kufikia hapa tunapenda kuwashukuru wafwatao

1) KATIBU MKUU DR TIBOHORA
2) AIZACK MAZWILE
3) HAFITHI MENEJA
4) JERRY MURRO
5) SHEKHA MOHAMEDY MWENYEKITI WETU
6) QLOUDS FM
7) Magcfm
8) Baraka Ngemba
9) Alex lwambano
10) Amina Athumani
11) Enock Bwire
12 na vyombo vyote vyya habari vilivyotupa ushirikiano

Tunapenda kuwatakia kheri ya mwaka mpya

Mashabiki wote wa mpira wa miguu nchini Tanzania
Pamoja na wanachama wote wa Yanga Africa nchini Tanzania

Tunaahidi SISI YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU

Mwaka 2016 tutaleta mapinduzi ya kweli kwa mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania katika kuzisaidia Timu zetu sisi kama mashabiki

Tunaomba ushirikiano weno

Asanteni sana
Imetolewa na idara ya habari ya YWSMM
Chini ya moody kabwe
 

Attachments

  • 1451555885583.jpg
    1451555885583.jpg
    106.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom