Mashabiki wa mpira wanawadharirisha mama zetu,Watetezi wa wanawake mko kimya.

Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huo udhalilishaji umefanywa na CCM hadi CHADEMA/TL waingilie kati?
 
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense mambo binafsi serikali nayo iingilie pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi naye huyu, alitimiza ahadi yake?
 
Attachments

  • VID-20190216-WA0043.mp4
    2.5 MB · Views: 13
Ili ni jambo la ajabu sana,eti yanga ikifungwa nakupa mke wangu,hivi nyie mnajua thamani ya mwanamke?
Wanaotamka hayo maneno wanajulikana wapo tu mtaani.

Wizara iko kimya,hadi watu wa haki za binadamu mko kimya,hata hapa jf mko kimya.

Huo udharirishaji ungefanywa na viongozi wa serikali ungewaona chadema/TL na human ridht.

God blec the women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea ungeanza kupiga kelele wanaovaa mavazi ya kishenzi na kupiga picha na kuweka mitandaoni na wengine kukaa wazi kabisa,nikuulize kabisa Mani anawadhalilisha? ukiwauliza wanakwambia wanaenda na usasa,wewe huoni siku hizi wanajichukua vidio huku wakitingisha makalio na kutuma mitandaoni nani anawatuma au wanashikiwa bastola,Hawatapata stara mpaka wajistiri wenyewe,Muda mwingine huwa ninawaelewa sana ndugu zetu waislam kwanini wanavaa mavazi gubigubi,nahisi wanajua thamani ya mwanamke si tunaopenda usasa wacha tubetie wake zetu,watembee uchi,wengine ndo wale yanga ikifungwa najitolea kuwa mboga sasa kama kwa mtindo ule tulazimishe Serikali iwatafutie heshima?

Ungeanza kanisani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom