Mashabiki wa Man U waanza kuomba msamaha kwa Messi

Jul 8, 2017
47
18
Tazama hapa mashabiki wa Manchester United wakiomba msamaha kwa Lionel Messi
Screenshot_20190315-220127.jpeg


Mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara
 
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
 
Tumeuona, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Umenikumbusha kwenye harusi yangu asee.
Ila sasa kuna uhusiano wowote kati ya wimbo huu na maada?

 
Ni shabiki au mashabiki? Ingia jukwaa lao uone wanavyojipa moyo huko....Huyo Jamaa siyo shabiki Wa man u ni attention tu anatafuta...
 
Back
Top Bottom