Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,618
- 154,958
Naona mko kimya na kondoo wenu, au maandishi yake yamefutika?
kondoo aliyeyuka ghafla mwezi ulipo andama tu
ingia jukwaa la siasa maziwa yao ni pure,ile cafeteria ya MMU wamechakachua sana hata ukinywa hutaskia rahasehemu gani wanauza chai hapa jirani jamani........
kwani ndugu yangu, kuna aliyekulazimisha uchangie? Wewe au Bujibuji nani amemfuata mwenzie? Ningependa kukushauri kuwa kama thread unaona haina maana sio lazima uchangie ndugu yangu. Kwani kuna sheria hapa JF inayosema 'changia kila thread'? Mawazo yangu tu hayo.weka mada zenye akili!hapa ni home of great thinkers so if youre not thinkers find another blog ujadiliane na wenye upeo mdogo!