Mashabiki wa Alikiba siyo real, ni maadui wa Diamond – Mama Ashura

More money more haters kawaida ukiwauliza wote kwa nini wanamchukia diamond, hawakupi sababu ya msingi.Ukija upande wa mauzo marry imegonga 6 platnumz (120000+) ,show za nje 100m+ per show na kila show tokea 2015 anaiweka YouTube, mwezi wa kumi na mbili ana show indigo (capacity 2800+),fighter anahangaika na mziki wake sasa hivi anafanya UK tour, huko nyuma alifanya tour ya vyombo vya habari Uganda, Kenya, SA,Nigeria, ni msanii anayejituma kwa kutengeneza brand yake na ndio maana balozi wa makampuni kibao (redgold, datv,vodacom, bellarie ,gsm mall) na ndie msanii peke kwa Tanzania aliyefanikiwa kuintergrate mziki na biashara (diamond karanga, chibu perfume, WCB label na studio, WCB studio for Photoshop).Mwaka 2015 kwa mujibu wa takwimu kutoka MCE Kenya ndio msanii ambaye Kenya nyimbo zake zinapata airtime za kutosha na kakusanya 30m za Kenya (tsh m600) akifuatiwa bahati alafu number tatu sauti soul .Msanii ambaye tokea rose muhando aporomoke ,yy ndie anayeshika no 1,kwa mauzo ya ringtone kenya nk .Sasa kwa nn wasimchukie hapo bado sijazungumzia record ktk vituo kamaTrace africa ,MTV na msanii pekee aliyehojiwa Aljazeera,CNN na BBC (Focus in Africa sio idhaa ya kiswahili ),huko itune ndio usiseme (hallelujah, no 1,nimpende nani, ukimwona ,nitampata wapi ,Nana ,nimpende nani zote ,mbagala, kamwambie zote zimeshashika number moja iTunes Kenya) na ndio msanii kila collabo aliyoifanya lazima imboost msanii kuanzia mauzo mpaka views youtube mf AY (zigo imeshashika no 1,itune),akothe ,Jahprayah(alimshukuru insta baada ya kupata tuzo ya MTV mama ,mwaka Jana ) ,Patoranking love me nyimbo inafanya vizuri kenya (mpaka ikashika no2 itune) .Amepiga show kwenye viwanja na zote zinajaa show Uganda, Kenya,Rwanda, Buguruni, DRC,Malawi, Mozambique, Zambia, Zimbabwe, Mayotte ,Comoro, Oman.Msanii pekee aliyepiga show ktk ufunguzi wa mashindano ya orange African.Msanii ambaye acc zake zote za social network mpaka YOUTUBE zipo verified mpaka Youtube wamempa tuzo kwa sababu acc yake ina viewers wengi .Nimeishia hapo lkn ana mengi kibao ,kwa hiyo usishangae kwani wayanzania ndio tabia yetu kuwachukia wasanii waliofanikiwa au umesahau Mr nice na Juma nature ,kama ipo ipo tuu pamoja na Seven kubana nyimbo ya Number 1 (sio rmx) isipigwe na vituo vya Tace na MTV SA,lkn yy akaitumia trace nigeria na akafanikiwa kuchukua tuzo 3 kupitia nyimbo hiyo uki itazama wanaompenda ni wengi ,wanaomchukia ni wachache ila wanakelele ndio maana unawaona wengi
OD2.jpg
 
Back
Top Bottom