Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Nataka niweke hiki kitu sawa kwa Mashabiki Wa Mpira
Watu Waaminifu siku zote kwenye Timu zao ni Mashabiki tu
Wachezaji, Wamiliki wa Timu,Makocha, Wasemaji wa Timu Mda wowote wanaweza kubadilisha gia na kuhamia sehemu ambako kuna Maslai binafsi na Kuziacha timu na kwenda sehemu nyingi kwenye faida zaidi
Mashabiki siku zote watabakia Kuwa watu Wahaminifu kwenye Kwenye Timu Zao hao wengine wanaweza kubadilika mda wowote na kuhamia sehemu yenye Maslai Binafsi
Pia Tukumbuke Kuna Maisha binafsi Maslai ndo Kila kitu Huwezi kufa njaaa eti kisa timu wakati kuna sehemu kuna Maslai na faida zaidi
Mashabiki wa Yanga watabakia kuwa Mashabiki wa Yanga NA Mashabiki wa Simba watabakiwa Kuwa Mashabiki wa Simba