Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Vurugu Kubwa Mechi ya Kenya Vs Guinea Busau
Mabomu Yanarindima Mechi Ya Kufuzu Kati Ya Kenya na Guinea Bisau Baada ya Guine Kuoata Bao La Utata
Mpira Umesimama
Mabomu Yanarindima Mechi Ya Kufuzu Kati Ya Kenya na Guinea Bisau Baada ya Guine Kuoata Bao La Utata
Mpira Umesimama
Mechi kati ya Kenya na Guinea Bisau iliyokuwa ikichezwa jijini Nairobi tarehe 27 March 2016 ililazimika kusimama kwa dakika 30 baada ya vurugu kubwa kufanywa na mashabiki wa Kenya.
Vurugu hizo ambazo zilipesababisha polisi kufyatua mabomu ya machozi zilitokana na Wakenya kugomea goli lililpofungwa na Guinea dakika ya 81. Hata hivyo baadae vurugu hizo zilitulia na mechi kumalizwa na Kenya ikala kichapo cha 1-0.
Poleni wakenya, angalia msije mkaadhibiwa tena, mkikumbuka ni miaka michache tangu mlipotoka kwenye kifungo cha FIFA kwa serikali kuingilia maamuzi ya mpira...