Masha: wafungwa wasahahu suala la kupelekewa wapenzi wao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masha: wafungwa wasahahu suala la kupelekewa wapenzi wao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 6, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Masha: wafungwa wasahahu suala la kupelekewa wapenzi waoNa Stella Mwaikusa

  Waziri wa Mambo ya ndani, Lawrance Masha amesema serikali haifikirii suala la kuwapelekea wenza wao wafungwa magerezani kwa kuwa sasa kuna mahitaji makubwa ya koboresha magereza hapa nchini.

  Masha alisema hayo alipokuwa akizungumza na Television ya Star Tv na kukusitiza kuwa kwa sasa kuna mahitaji makubwa ya kuboresha magereza na mazingira kwa ujumla ila hili la kuwapelekea wafungwa wenza wao bado halijafikiriwa.

  “Inawezekana iko siku tukafikia hatua hiyo ila kwa sasa hilo halijapewa kipaumbele kwani kwa sasa tunaangalia namna ya kuboresha mazingira ya ndani ya gereza,”alifafanua.

  Masha alisema serikali imejitahidi kuboresha mazingira ya magereza ukilinganisha na hapo awali, kwani hivi sasa chakula wanachokula wafungwa ni kizuri.

  “Mimi kila nikifika kwenye gereza huwa naonja chakula na kwa kweli sio kibaya, hali ni afadhali kuliko zamani,”aliongeza.

  Kuhusu vitambulisho vya uraia Waziri alisema kufikia mwaka 2010, mwishoni vitambulisho vya kwanza vitaanza kutolewa. Alifafanua kuwa vitambulisho hivyo vitatolewa bure kwa watanzania ambao wako juu ya umri wa miaka kumi 18 kwa awamu ya kwanza na iwapo mtu ata poteza kitambulisho hicho na kuhitaji tena atanunua, ila kwa wageni ambao wako hapa nchini kwa hati ya ukaazi watanunua.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Yaani ana wivu kwa mpenzie mpaka kwa wafungwa jamani...............loh ii kali haya labda nasie tumshauri mh masha

  kutokana na hili sabuni za kujisugua zisiwe mbali vinginevyo nimejua kwa nini jela wanafanyiana mchezo mchafu wanaume kwa wanaume...............
   
 3. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Masha is wrong. I think as an advocate he was supposed to put in mind the conugal rights not for the detainees and convicted persons only but for their mates i.e wives or husbands. The time has come now to draft a policy of introducing conjugal visits for the detainees and convicted persons. Human Rights Institutions are supposed to address this with immediate effect.
   
Loading...