Elections 2010 Masha kwaheri

jyfranca

JF-Expert Member
Oct 3, 2010
297
8


Home
arrow.png
Habari za Kitaifa
arrow.png
Personal Tech
arrow.png
JK aongoza kwa kura majimbo ya Mwanza
JK aongoza kwa kura majimbo ya Mwanza

Monday, 01 November 2010 19:12 newsroom



Na Peter Katulanda, Mwanza
MGOMBEA urais wa CCM Rais Jakaya Kikwete ameongoza kwa kupata kura nyingi katika majimbo ya mkoa wa Mwanza, huku CHADEMA kikishinda viti vitatu vya ubunge vikiwemo vya majimbo ya mjini, Ilemela na Nyamagana jijini hapa. Kwa mujibu wa matokeo ya awali katika majimbo hayo, CCM kimepata majimbo sita, huku jimbo la Misungwi likongoza kwa kura nyingi za rais, mbunge na kuzoa kata zote.
Habari zilizopatikana hapa kutoka majimbo hayo, CHADEMA kimezoa madiwani katika kata 11 kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana ambayo yanaunda Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kuwa na kata 21. Jimbo lingine lililokwenda na Chadema ni la Ukerewe, huku CCM mbali na Misungwi ikishinda katika majimbo ya Kwimba na Magu. Mengine ni Sumve, Buchosa na jimbo la Busega.

Kata tano zilizochukuliwa na CHADEMA jimboni Nyamagana ni Isamilo, Mahina, Igoma, Pamba na Mbugani, huku jimbo la Ilemela zikiwa ni pamoja na Kirumba, Nyamanoro, Pasiansi, Ilemela, Nyakato na Kitangiri.
 
Masha rudi IMMA ukakae na Riddhwani Kikwete mkacheze na mahakama
 
Masha ni mtu wa karibu sana na JK, hata mwacha hivi hivi ingawa anaweza kuendelea na kazi kwenye kampuni yake ya IMMA bado JK anaweza kumpa nafasi Ubalozi.
 
Huyu masha namchukia from deeply my heart i don't know why!! namuona kama anamajigambo fulani akiongea alikuja kuniboa kipindi kile cha beef lake na mh Mengi, huyu kaka anamadharau sana, Masha sikupendi hata kidogo na mm ningekuwa jimbo lako nisingekupigia kura ng'ooooo, kama nilivyomnyima bb yk mzee wa kuanguka
 
Kupitiakampuniyakeya IMMA huyu jamaaalikuwabingwawakusaidia wawekwzajikuingia mikataba ya kinyonyaji na serikali. Asante wana Mwanzakwakufanya maamuzi magumu kwa mtu asiye faa ktk Tanzania.
 
Back
Top Bottom