Masha amsamehe King Msukuma! Asema anamsamehe ili maisha yaendelee

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Leo asubuh mapema,kupitia clouds Tv ndgu Masha amejitokeza kuzungumzia masuala mbali mbali yanayolikabili shirika la Fastjet, na mwishowe amemalizia kwa kusema kuwa yeye kama Masha amemsamehe King Msukuma pamoja ya amemtusi matusi ya nguoni!

Mimi nmemsamehe,ndgu yangu ili maisha yaendelee!
 
Kweli maisha ni mchezo... hivi mnakumbuka uyu mtu wakati akiwa waziri Enzi hizo
 
Back
Top Bottom