AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
Jamani wacha Mungu aitwe Mungu, Mungu kaumba jamani kuna movie wadau nilikua naangalia dah mtoto mzuri balaaaa asa uko peponi sijui kuna kuwaje????? aise nimeona ni express my appreciation kwa kiumbe huyu jaz sinclair na medaline mantock.
Na ina wezekana kuna wengine wakali kuliko hao wako hapa na uko peponi nasikia ndo kuna visu duniani wanasubiri na wana wangoja wacha Mungu peke yao tuh. dah sio mchezo.
ma half cast wazuri nyinyi:
Na ina wezekana kuna wengine wakali kuliko hao wako hapa na uko peponi nasikia ndo kuna visu duniani wanasubiri na wana wangoja wacha Mungu peke yao tuh. dah sio mchezo.
ma half cast wazuri nyinyi: