Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

Chibingwa

Member
Jan 17, 2008
49
7
Habari za kuaminika kutoka kwa dada yake na Rau Masha ni kwamba yuko hoi Bugado Hospital, na wanachadema wanadai matokeo yatagazwe, hapotoshi ofisi za jiji Mwanza.
 
Monica Mbega naye hali yake kiafya si nzuri, helicopter inamuhamishia Dar
 
Apone haraka aisee, maana inabidi tumwonyeshe hata yeye anaweza kuwa sio raia km vipi'
Sasa bado mkweree, wapi ambulance Ikulu,
 
Tuendelee kumuomba mungu asikie kilio cha Watanzania wanaotaka ukombozi wa nchi yao, nawapongeza sana wanaodhibiti uchakachuaji wa kura, tuko pamoja, safari hii mpaka kieleweke enough is enough jamani looh!
 
Na ndio bado! Huyu jamaa kwa kipindi cha miaka mitano tu amejitahidi kuwashawishi wananyamagana wamchukie, na kafanikiwa, sasa anahaha nini! Wenje yuko juu sana!
Chadema oye!
 
Nilikuwa Mwanza wiki iliyopita na tathmini yangu ya juu juu ya kuongea na wananchi wa jiji la Mwanza ni kuwa jamaa alikuwa hakubaliki kabisa. Sasa habari kama hizi wala hazinishangazi...
 
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
 
Back
Top Bottom