Masha afafanua kuhusu kufa kwa Fast Jet

swala la yeye kuhusu masanga sikupata point yake vizuri zaidi ya kujitetea kana kwamba amesingiziwa
 
Mtanzania gani hawezi kuongea Kiswahili fasaha? Viingereza kila akimeza mate. Sijui JK alimwokota wapi?
 
Interview nzuri sana. Fast jet ilikuwa kampuni iliyotuwezesha wanyonge tupande ndege. Hawa AirTanzania bei zao zipo juu sana.
 
Baada ya Magufuli kuondoka wanaanza kujitokeza mmoja mmoja kama panya kujaribu bahati zao. Tatizo la siasa za Tanzania zimevamiwa na matapeli wengi kwani wananchi ni rahisi sana kudanganyika kwa maneno.
Sasa kuiua fast jet Ili kuisaidia Air Tanzania ni akili mfu,na ndio ilikuwa sera za Jiwe,ingekuwa ni nchi yenye watu wenye akili,ni bora uchukue CEO wa private company aongoze shirika la umma,angalia TTCL iliachwa mbali na Tigo,voda,Airtel,mpaka halotel wanawazidi
 
31 May 2021

MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI.



Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. . Pia alinunua shirika la ndege la #FASTJET, Likapata vikwazo yeye akiwa mmiliki.

source : E Digital

Hajawahi kuwa mmiliki he was just a board chairman . Mlevi tu
 
Kati ya wote wanaoendelea kuongea... Huyu kafunika
View attachment 1803851
😂😂😂😂😂😂
Ila huyu mama ana nywele nzuri sana; ana umri wa karibu miaka 70 lakini hana mvi. Alipata pesa ya mboga kutoka kwa Rugemalila, lakini pamoja na huyo Ruge kuendelea kusota Lupango miaka yote hii , yeye haimsumbui akili kabisa. Alijitoa kugombea kiti cha ubunge lakini akaipigia CCM kampeini mbele ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom