PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
22 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Rio Ferdinand, not happy for things which are going behind his back in Tanzania

View: https://m.youtube.com/shorts/JU6Af_cHds8
Rio Ferdinand baada ya kubaini mipango ya kutumika kinyemela na mamlaka zilizomleta atoa tamko kuwa kamwe hakubali kutumika kisiasa, na kusisitiza hilo baada ya kupitia mitandao ya kijamii ikijaa comments kibao sisizo za kuhusu michezo hasa mpira wa miguu na ndicho kilichomleta Tanzania na si vinginevyo
Rio Ferdinand, spill the beans in Dar es Salaam after discovering plans by some authorities in Tanzania to secretly use him politically, Rio has issued a strong firm statement that he will never accept to be drag into local political agenda, and stressed this after going through social media which are awashed with comments not related to sports, especially football, which is what brought him to Tanzania and not otherwise.

20 May 2026
Dodoma, Tanzania

Rio Ferdinand with the notorious Paul Christian Makonda
1779466429556.jpeg

Rio Ferdinand with the notorious Tanzanian politician Paul Makonda who is sanctioned by US under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, for Involvement in a Gross Violation of Human Rights ...

U.S. Department of State (.gov)
https://2017-2021.state.gov
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul ...

31 Jan 2020 — The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and ...
 
22 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Rio Ferdinand, not happy for things which are going behind his back in Tanzania

View: https://m.youtube.com/shorts/JU6Af_cHds8

Rio Ferdinand, spill the beans in Dar es Salaam after discovering plans by some authorities in Tanzania to secretly use him politically, Rio has issued a strong firm statement that he will never accept to be drag into local political agenda, and stressed this after going through social media which are awashed with comments not related to sports, especially football, which is what brought him to Tanzania and not otherwise.

20 May 2026
Dodoma, Tanzania

Rio Ferdinand with the notorious Paul Christian Makonda
View attachment 3593020
Rio Ferdinand with the notorious Tanzanian politician Paul Makonda who is sanctioned by US under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, for Involvement in a Gross Violation of Human Rights ...

U.S. Department of State (.gov)
https://2017-2021.state.gov
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul ...

31 Jan 2020 — The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and ...


22 May 2026
Arusha, Tanzania

SUGU - HII YA MAKONDA NI SPORTS LAUNDRYING YA RIO NA DROGBA


View: https://m.youtube.com/watch?v=Dio-AimvhL0

Katika mkutano mkubwa leo CHADEMA yasema Hawasafishiki wote waliohusika na mauaji ..
 
Muswada wa mabunge ya Marekani unataka :

26 Representatives a report that includes a list of each foreign person that the Secretary

27 determines

28 (1) holds a senior position in the Government of Tanzania, the leadership of Chama Cha

29 Mapinduzi, the Tanzania Police Force, the Tanzanian People’s Defense Force, or the

30 Tanzanian Intelligence and Security Service; and

31 (2) is responsible for or complicit in, or has directly or indirectly engaged in

32 (A) ordering, controlling, or otherwise directing abductions, enforced

33 disappearances, or arbitrary detention of political opponents, journalists, or civil

34 society actors;

35 (B) the targeting harassment, intimidation, detention, or use of violence against

22 May 2026

JESHI LA NAVY KMKM

Waziri (OR)Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. IDRISSA KITWANA MUSTAFA Akifunga Mafunzo ya Uongozi Mkubwa na mdg Mkupuo wa 22 Mwaka 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=rZhH49Y6HBI
Maofisa na wapiganaji wa uongozi mkubwa na mdogo kuwajenga wawe tayari kwa majukumu yao ya ulinzi na usalama kwa wapiganaji wote wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ

Naye mkuu w KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri amuhakikishia Waziri (OR)Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe Idrissa Kitwana Mustafa kuwa wapo tayari kuwalinda raia wote ambao ni wakwezi, wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara visiwani Zanzibar
 
21 May 2026

JINSI MUSWADA WA KUWAFINYA SAMIA, KIKWETE, CCM, WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA TANZANIA WAFAFANULIWA KWA KISWAHILI RAIA WAJUE KIBANO WATACHOPATA WATAWALA HARAMU

View: https://m.youtube.com/watch?v=R0X_nr8drPo

Kwa Undani mswada wa Marekani wa Marekani kummaliza Samia, CCM, Kikwete na Mkunda kuhusu Mauaji na Utekaji Oct 2025 wafafanuliwa kwa kina

Kwa ajili ya vyombo vya media ya Tanzania kukwepa kuelezea raia nini hasa wabunge wa seneti na baraza la wawalikishi wa Marekani wamempatia rungu rais Donald Trump kuwashughulikia majahili wote

Heheee Raha sana 😄😄
 
SAMIA HASSAN - WHO ARE YOU
View attachment 3592632
Lini serikali haramu ya chama dola ya Samia Hassan italijibu bila kigugumizi mabunge ya Marekani kuhusu muswada huu wa Bunge la Seneti na lile la Wawakilishi (Congress)

Wenzao wa CCM wa chama dola kongwe tawala kule Havana Cuba bila kuchelewa au kujificha ficha wametoa tamko kwa Marekani baada ya kumtaja Raul Castro kuwa ni muhalifu anayatakiwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria

21 May 2026
Denuncian componenda para preparar agresión contra Cuba con similitudes a caso venezolano

View: https://m.youtube.com/watch?v=3KlUfZ_qdcY
View attachment 3592631

View: https://m.youtube.com/watch?v=roZ1TiYoqtE


May 21. 2026
U.S. President Donald Trump hailed his justice department's indictment of former Cuban president Raúl Castro over his role in Cuba's 1996 downing of two civilian aircraft that killed four people, including three Americans. Trump said the U.S. is 'freeing up' Cuba, but has no plans for 'escalation.'


View: https://m.youtube.com/watch?v=bHXUYtbqQeA
Source : CBC News


Hatimaye wabunge wa bunge haramu la chama kimoja mjini Dodoma wajadili maazimio yaliyopo ktk waraka wa wabunge wa Senate na Congress kumpa Donald Trump rungu aweze kuwashughulikia Samia pamoja na wateuliwa wake

26 May 2026
Dodoma, Tanzania

Mwanzo -Mwisho Wabunge wa chama dola kongwe CCM Wachachamaa bungeni kutokana na Marekani Kutaka Kuwawekea Vikwazo Viongozi wa Serikali Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=Lqzt1cnif5o
Wabunge hawa wa CCM wameyaongea haya leo Mei 26, 2026, wakati wakichangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje. Michango hii inakuja baada ya muswada kuwasilishwa katika kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Seneti la Marekani wenye lengo la kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kufuatia mauaji ya Oktoba 29 2025
 
Mmezoea kuua watu, genge la wauji wakiongozwa na Idd Amin Mama. Liuaji lenu limezidi, kuwateka wachungaji, mapadri anaenda kuwa tupa , halafu anakuja kuwakebehi tume waokota wakiwa na msongo wa mawazo. Rais pekee nchi Tz ambae anaendesha mauaji hadi kwa viongozi wa dini.

Hakuishia hapo, alivyo zero upstairs kaua watanzania kwa kuwa miminia risasi za moto ili awe Rais japo uwezo wale kiduchu. Hakuna mtu wa hovyo Dunia hii kama huyo mjinga, dah hata kuiba uchaguzi wenzie wote walio mtangulia walikuwa kidogo smart, unaruhusu walau kampeni kwa upinzani ziwepo na kura zina pigwa pigwa kuhadaa dunia, huyu kampeni peke yake, kura peke yake, hakafu kaua na watu, macho makubwa lakini haoni.
 
Jicho lamulikwa ktk mfumo mzima wa chama dola, vyombo na wakuu wake

The bill from Sens. Jeanne Shaheen, D-N.H., and Ted Cruz, R-Texas, details of which were shared first with Semafor, would authorize new sanctions on Tanzanian officials and freeze security assistance to the country amid the ongoing political crisis...

Senate Legislative Counsel
Draft Copy of DAV26997 4XR

3


21 SEC. 5. REPORT ON CERTAIN INDIVIDUALS IN

22 LEADERSHIP POSITIONS IN TANZANIA.

23 Not later than 180 days after the date of the enactment of this Act, the Secretary of State shall

24 submit to the appropriate congressional committees, the Committee on Banking, Housing, and

25 Urban Affairs of the Senate, and the Committee on Financial Services of the House of

26 Representatives a report that includes a list of each foreign person that the Secretary

27 determines

28 (1) holds a senior position in the Government of Tanzania, the leadership of Chama Cha

29 Mapinduzi, the Tanzania Police Force, the Tanzanian People’s Defense Force, or the

30 Tanzanian Intelligence and Security Service; and

31 (2) is responsible for or complicit in, or has directly or indirectly engaged in

32 (A) ordering, controlling, or otherwise directing abductions, enforced

33 disappearances, or arbitrary detention of political opponents, journalists, or civil

34 society actors;

35 (B) the targeting harassment, intimidation, detention, or use of violence against

36 journalists, media organizations, or activists to suppress dissent or silence public

37 reporting on human rights violations;

38 (C) censorship, shutdowns, or other restrictions on media, internet access, or

39 freedom of expression intended to conceal human rights abuses or prevent the

Page 3

HATARI SANA! Taarifa NZITO Kuhusu Mkurugenzi wa Operesheni Idara ya Usalama wa Taifa

31 May 2026
Fadhili Mufwimi Saga is the former Deputy Director General and Director of Internal Operations of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS).

View: https://m.youtube.com/watch?v=rG1eCy3S8T8
He has been identified in open-source investigations and regional analysis as being connected to the upper echelons of TISS, operating prominent online commentary and national security strategy. Due to the highly secretive nature of the Tanzanian intelligence apparatus, detailed official government profiles or press statements regarding his tenure remain restricted from the public domain
Source : Jasusi Blog
 
31 May 2026
Hilda Newton
@HildaNewton21

HUYU NDO FADHILI SAGA, MMOJA WA WAUAJI WA OKTOBA 29, 2025
THE ENFORCER - FADHILIDeputy Director General of TISS Fadhili Saga Also Director of Operations - overseeing all operations including

1780237324509.jpeg

Huyu kwenye picha anaitwa Fadhili Mufwimi Saga alikuwa DIO mkurgenzi wa Operation wa operesheni za ndani TISS.

Wakati tuko busy tunajiandaa na Maandamano ya Oktoba 29, 2025 na yeye alikuwa busy kuandaa kikosi cha TISS ambacho kilipewa jukumu la kuuwa waandamanaji , hiki kikosi chake ni njee ya vile ambavyo vilikuwa vinaratibiwa na Jeshi la Polisi chini ya IGP Wambura pamoja na Kamishna wa Operation wa Jeshi la Polisi Awadhi Haji ( Kuhusu ushiriki wa Awadhi kwenye maujaji ya Oktoba, tutajadiliana siku nyingine) Turudi kwenye issue ya leo.

Ni hivi kikosi ambacho alikuwa anakiongoza Fadhili Saga kilikuwa na Makomandoo wa TISS + KMKM na wengine walitolea kwenye Task Force ya Mafwele ambayo iliundwa kwa ajili ya kudeal na Majambazi Sugu ila badae ikaongozewa majukumu ya kuteka, kuuwa na kupoteza Wanaharakati & Watu wanaokosoa Serikali haramu.

Hivyo Task Force Makao yake yapo nyuma ya kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es Salaam na pale wanakarakana yao ya kutesea watu yani mtu akitekwa kabla haujauwawa/kupotezwa lazima apelekwe pale, wenyewe wanapaita “THEATER” wakimaanisha Chumaba cha Upasuaji.

Kama mnakumbuka Oktoba 29, 2025 baada ya Maandamano kushika kasi kila kona ya Dar wa salaam ndo vikosi vya Idd Amin Mama vikaanza kuingia barabarani na kuanza kupiga watu risasi hawakutaka hata kutumia mabomu ya machozi wala maji ya kuwasha kwasababu agizo lilikuwa ni kuuwa.

Sasa DIO TISS Fadhili Saga alichukua silaha, akawapa na vijana wake, kwenye kikosi ambacho alikuwa anakiongoza yeye then wakaingia barabarani, moja kati ya majukumu ambayo alijipa yeye ni kikosi chake ni kuhakikisha Waandamanaji hawavuki Magomeni, hawavuki Morocco, hawavuki Karume na Kurasini kote huko aliweka Vijana wake na lengo lake ilikuwa Waandamanaji wasiingie Karikoo wala Posta maana alijua wakifanikiwa tu kuingia hapo, Ikulu ya Magogoni itakuwa imeondoka, walikubaliana mtu yeyote akisogea hayo maeneo tajwa apigwe risasi.Sasa kwenye route ya MAGOMENI ambayo ndo ilikuwa na Waandamanji wengi, Fadhili Saga akaingia mzigoni yeye mwenyewe, akiwa na hii gari mnayoiona hapa kwenye hii video, ambapo Fadhili Saga alikuwa na hawa Wauaji wengine mnaowaona kwenye video hii twitter.

Hii siku Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa watu wengi sana, walipiga risasi kila mtu ambae alikatiza mbele ya macho yao walipoona hakuna mtu ambae anapita barabarani ndo wakaamua kuingia majumbani kwa watu, walipiga risasi hovyo hovyo kuna watu risasi ziliwafuata ndani kwao, zikaondoa uhai wao, Fadhili na kikosi chake walifanya operation ya kuuwa watu kwa siku tatu mfululizo bila huruma.

Fadhili Saga na kikosi chake waliuwa maelefu ya Watanganyika, huku akiamini kwamba baada ya Oktoba 29, 2025 Nduli Idd Amin Mama lazima angempandisha cheo na kumfanya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.Imagine mtu alikuwa anamiminia watu risasi kama kichaa, alikuwa anamlinda Nduli Idd Amin Mama, asiondolewe madarakani na waandamaji ili mwisho wa siku ampandishe yeye cheo, yani hakuona njia yoyote ya kumsaidia kupanda cheo isipokuwa kumwaga damu za Watanganyika wenzetu kwamba cheo ambacho alikuwa anakitaka thamani yake aliona inalingana na uhai wa watu aliowauwa.

Sasa mara baada ya Nduli Idd Amin Mama kuapishwa pale kwenye Garage ya kambi ya Jeshi, akamuondoa kabisa Fadhili Saga kwenye nafasi ambayo alikuwa nayo DOI TISS awali, baada ya Fadhili kulalamika sana sasa hivi Nduli Idd Amin Mama ameamua kumpeleka Fadhili Saga Ubalozini huko kwenye moja ya nchi za Asia ambako anaenda kuwa afisa wa kawaida wa Ubalozi.

Kwasasa Fadhili Saga, anasoma Chuo cha Diplomasia cha Dr. Salim Ahmed Salim pale Kurasini Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya kazi yake mpaka ambayo anatarajia kuianza mara baada ya kumaliza kozi yake fupi anayosoma so nyie ambao huwa mnaonana nae huko Kurasini kwenye iko chuo cha Diplomasia, jueni kwamba mnasoma na mtu hatari sana, mtu ambae ameuwa maelfu ya Watanganyika kwa mikono yake miwili.Kwenye ile list ya watu ambao wanatakiwa kufikishwa ICC huyu hatakiwi kukosekana.
 
Maria Sarungi Tsehai
@MariaSTsehai

THE ENFORCER - FADHILI Deputy Director General of TISS Fadhili Saga
1780237505235.jpeg

Also Director of Internal Operations TISS - overseeing all operations including #enforceddisappearances - this man needs to be high on the list of individuals for
@IntlCrimCourt
and sanctions!Cc
@WGEID
@OHCHR_EARO
@StateDRL

@SenateForeign

@HouseForeign

@EUParl_EN
Huyu mtu nimetajiwa sana na wanasema utekaji, utesaji na mauaji yote anasimamia! Nimekosa picha yake tu - najua nitaipata tu Ni miezi 6 sasa wadau wananihimiza huyu asisahauliwe kwenye orodha maana Mafwele mwenyewe anapokea maagizo ya task force kutoka kwake! Operesheni utekaji iko chini yake! Ni muhimu tuwajue wote hawa watesaji! #StopAbductionsTz
 
TOKA MAKTABA:

27 November 2025

How President Samia & CCM “Systematically” Crushed Tanzania’s Opposition 🇹🇿 | Liberatus Mwang’ombe

View: https://m.youtube.com/watch?v=-3lrX1WHw40

Liberatus Mwang’ombe explains how a state-engineered system wiped out Tanzania’s opposition long before Election Day 'KIMFUMO
 
05 June 2026
Makao Makuu ya KMKM
Kibweni
Zanzibar

UCHUMI WA BULUU KMKM MDAU MKUBWA

KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri asisitiza umuhimu wa uchumi wa buluu akifunga mafunzo ya introduction course on oil spill kwa maafisa, NCOs na Askari wa KMKM


View: https://m.youtube.com/watch?v=h_6783PXsxQ
UNITAR united nation institute offered a course introduction course on oil spill Zanzibar 2026

The United Nations Institute for Training and Research (UNITAR) provides an Introductory e-Course on Oil Spill Preparedness and Response alongside the UN Environment Programme (UNEP). In-person spill response training in Zanzibar is facilitated by specialized institutes (such as Trainingcred) and the IMO, operating under the OPRC convention.

Key Course Details
While UNITAR’s online learning portal provides broader introductory courses on Environmental Emergencies and Chemicals, specific on-site model training in Zanzibar generally covers the following:
  • Level 1 (Supervisor/On-scene Commander): Focuses on leading response teams.
  • Level 2 (Supervisor/On-scene Commander): Focuses on managing the operational response.
  • Level 3 (Administrator/Senior Manager): Focuses on strategic management and contingency planning
 
Back
Top Bottom