PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
In fact hata Tanzania inalazmika sasa, kutafakari na kuutazama upya uhusiano na mashirikiano yake na Marekani hasa kisiasa na kiuchumi baada ya Marekani kua kiini cha mzozo wa mashariki ya kati kwa kuangamiza mamia ya wananchi wa Irani wasio na hatia.

Ni muhimu sana kuifutilia kwa karibu sana Marekani dhidi ya ukiukaji wake mkubwa wa haki za binadamu ndani ya Irani, na kutoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya wananchi wa Irani mara moja,

vinginevyo Tanzania kwa kushirikiana na washirika wake muhimu inaweza kuchukua uamuzi wa kuitenga Marekani na kusitisha mahusiano nayo mpaka pale itakapojirekebisha 🐒
Mna huo ubavu? au mnataka wanafunzi waanze kujisaidia vichakani? maana hata vyoo vya kujisaidia wanafunzi vimewashinda mpaka msubiri wamarekani wake kuwajengea.
 
Majuto makuu kwa watawala dhalimu

Donald Trump asogezewa faili zito nene lenye taarifa zilizoshiba ushahidi usio na shaka juu ya utawala wa Samia Hassan pamoja na vyombo anavyo viongoza chini ya serikali haramu ya chama dola kongwe CCM

May 20, 2026, 10:06am GMT+1

by Adrian Elimian
DC Newsroom fellow
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan in April

Mtawala Samia Hassan akiwa katika tafakuri nzito,. Picha na Emmanuel Herman/Reuters

A new bipartisan bill would direct President Donald Trump’s administration to undertake a dramatic overhaul of the US relationship with Tanzania in response to the African nation’s violent crackdown following last year’s disputed presidential election.

The bill from Sens. Jeanne Shaheen, D-N.H., and Ted Cruz, R-Texas, details of which were shared first with Semafor, would authorize new sanctions on Tanzanian officials and freeze security assistance to the country amid the ongoing political crisis.

“Tanzania has long been an important partner in East Africa, but the country’s recent democratic backsliding, political violence and repression cannot be ignored,” Shaheen said in a statement, adding that her bill “makes clear that the United States must stand firmly for democratic principles, human rights and the rule of law.”

For his part, Cruz emphasized reports of Christian persecution specifically, accusing the Tanzanian government of carrying out “a campaign of political repression and religious persecution.” He referred to instances of ballot manipulation, abduction of religious leaders, and restrictions on Christian worship at the hand of the Tanzanian government.

“This bill will help counter that political repression and the persecution of Tanzanian Christians, and I am proud to lead it with Senator Shaheen,” Cruz said in a statement.

Specifically, the legislation introduced this week would direct Secretary of State Marco Rubio to submit a full review of the US relationship with Tanzania within 90 days, to include assessments of “democratic priorities” in Tanzania, the totality of US security assistance to Tanzania, and the African nation’s relationship with China.

It would also require the Trump administration to identify Tanzanian government, ruling party, and security officials responsible for abductions, extrajudicial killings, and the suppression of opposition figures. It authorizes the executive branch to impose asset freezes and visa bans on those individuals.

Security assistance and financing from US development institutions would be cut off under the bill until Tanzania meets a series of benchmarks, including releasing political prisoners and enacting electoral reforms
 
In fact hata Tanzania inalazmika sasa, kutafakari na kuutazama upya uhusiano na mashirikiano yake na Marekani hasa kisiasa na kiuchumi baada ya Marekani kua kiini cha mzozo wa mashariki ya kati kwa kuangamiza mamia ya wananchi wa Irani wasio na hatia.

Ni muhimu sana kuifutilia kwa karibu sana Marekani dhidi ya ukiukaji wake mkubwa wa haki za binadamu ndani ya Irani, na kutoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya wananchi wa Irani mara moja,

vinginevyo Tanzania kwa kushirikiana na washirika wake muhimu inaweza kuchukua uamuzi wa kuitenga Marekani na kusitisha mahusiano nayo mpaka pale itakapojirekebisha 🐒
Hakikikasha unayo-stock ya kutosha ya ARV .....Maana hiyo HIV+ yako iliyopanda kichwani itahamia na mku.nd.uni

Ahsanta
 
Hakikikasha unayo-stock ya kutosha ya ARV .....Maana hiyo HIV+ yako iliyopanda kichwani itahamia na mku.nd.uni

Ahsanta
huna haja ya kuweweseka na kumbwelambwela nonsense jukwaani ikiwa huna point gentleman 🐒
 
Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili uliotokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliopita uliogubikwa na utata.

Muswada huo uliowasilishwa na Maseneta Jeanne Shaheen (Demokrati kutoka New Hampshire) na Ted Cruz (Jamhuri kutoka Texas)—ambao maelezo yake yalishirikishwa kwanza na mtandao wa Semafor—ungeidhinisha vikwazo vipya dhidi ya viongozi wa Tanzania na kusitisha misaada ya kiusalama kwa nchi hiyo huku kukiwa na mgogoro wa kisiasa unaoendelea.

Kwa upande wake, Cruz alisisitiza ripoti za madai ya ukatili dhidi ya Wakristo, akiishutumu serikali ya Tanzania kwa kuendesha "kampeni ya ukandamizaji wa kisiasa na ukatili wa kidini." Alitaja matukio ya wizi wa kura, utekaji nyara wa viongozi wa dini, na vizuizi vya ibada za Kikristo vinavyofanywa na serikali ya Tanzania.

"Muswada huu utasaidia kupambana na ukandamizaji huo wa kisiasa pamoja na ukatili dhidi ya Wakristo wa Tanzania, na ninajivunia kuuongoza muswada huu pamoja na Seneta Shaheen," Cruz alisema katika taarifa yake.

Soma Pia:
===============
A new bipartisan bill would direct President Donald Trump’s administration to undertake a dramatic overhaul of the US relationship with Tanzania in response to the African nation’s violent crackdown following last year’s disputed presidential election.

The bill from Sens. Jeanne Shaheen, D-N.H., and Ted Cruz, R-Texas, details of which were shared first with Semafor, would authorize new sanctions on Tanzanian officials and freeze security assistance to the country amid the ongoing political crisis.

“Tanzania has long been an important partner in East Africa, but the country’s recent democratic backsliding, political violence and repression cannot be ignored,” Shaheen said in a statement, adding that her bill “makes clear that the United States must stand firmly for democratic principles, human rights and the rule of law.”

For his part, Cruz emphasized reports of Christian persecution specifically, accusing the Tanzanian government of carrying out “a campaign of political repression and religious persecution.” He referred to instances of ballot manipulation, abduction of religious leaders, and restrictions on Christian worship at the hand of the Tanzanian government.
Mwaliko wa Rio Ferdinand haujasaidia Marekani kusahau yaliyotokea October 29 30 na 31?
 
Mna huo ubavu? au mnataka wanafunzi waanze kujisaidia vichakani? maana hata vyoo vya kujisaidia wanafunzi vimewashinda mpaka msubiri wamarekani wake kuwajengea.
Gentleman,
tulishamtoa nduki muwakilishi wa EU humu nchini chini ya masaa24 ndio itakua nguvu kwa weak and isolated US government inayokiuka haki za binadamu wazi wazi kabisa nchini Irani?

Tanzania Kama taifa huru tunao ubavu sana tu wa kuishinikiza Marekani kidiplomasia kudhulumu haki za binadamu wa Irani., Lakini Tanzania ni kisiwa cha amani, kwahiyo tuna matumaini makubwa sana mzozo wa Marekani na Irani utamalizika haraka iwezekanavyo kwa njia ya mazungumzo ya amani na ukiwaji wa haki za binadamu Irani utakomeshwa, vinginevyo tutachukua hatua tofauti za kidiplomasia 🐒
 
Hahaaa, Tanzania iifuatilie Marekani kwa karibu na kuitenga, uko timamu kweli.

Samia anaiangamiza nchi.
Yes,
Na tunaungana na duniani nzima kuitaka Marekani kuacha mara moja kukiuka haki za binadamu ndani ya Irani kwa kuangamiza mamia ya wananchi na watoto wasio na hatia.

Tunasisitiza njia ya mazungumzo ya amani itumike kumaliza mzozo wake na Irani kabla ya Tanzania kuishawishi dunia dhidi ya hatua za kuichukulia Marekani dhidi ya ukatili wa kibinadamu inaoufanya ndani ya ardhi ya Irani 🐒
 
In fact hata Tanzania inalazmika sasa, kutafakari na kuutazama upya uhusiano na mashirikiano yake na Marekani hasa kisiasa na kiuchumi baada ya Marekani kua kiini cha mzozo wa mashariki ya kati kwa kuangamiza mamia ya wananchi wa Irani wasio na hatia.

Ni muhimu sana kuifutilia kwa karibu sana Marekani dhidi ya ukiukaji wake mkubwa wa haki za binadamu ndani ya Irani, na kutoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya wananchi wa Irani mara moja,

vinginevyo Tanzania kwa kushirikiana na washirika wake muhimu inaweza kuchukua uamuzi wa kuitenga Marekani na kusitisha mahusiano nayo mpaka pale itakapojirekebisha 🐒
Uko sahihi, ata Abdul amesema hilo
 
Huyu jini aliyekatalia pale ikulu huku chakula chake kikiwa damu za watoto wetu this time amepatikana.

Oh ,rais wa kwanza mwanamke kushinda uchaguzi wa kishindo,sasa tutamrejea kwa mabaya yeye na ukoo wake.
 
Jicho lamulikwa ktk mfumo mzima wa chama dola, vyombo na wakuu wake

The bill from Sens. Jeanne Shaheen, D-N.H., and Ted Cruz, R-Texas, details of which were shared first with Semafor, would authorize new sanctions on Tanzanian officials and freeze security assistance to the country amid the ongoing political crisis...

Senate Legislative Counsel
Draft Copy of DAV26997 4XR

3

21 SEC. 5. REPORT ON CERTAIN INDIVIDUALS IN

22 LEADERSHIP POSITIONS IN TANZANIA.

23 Not later than 180 days after the date of the enactment of this Act, the Secretary of State shall

24 submit to the appropriate congressional committees, the Committee on Banking, Housing, and

25 Urban Affairs of the Senate, and the Committee on Financial Services of the House of

26 Representatives a report that includes a list of each foreign person that the Secretary

27 determines

28 (1) holds a senior position in the Government of Tanzania, the leadership of Chama Cha

29 Mapinduzi, the Tanzania Police Force, the Tanzanian People’s Defense Force, or the

30 Tanzanian Intelligence and Security Service; and

31 (2) is responsible for or complicit in, or has directly or indirectly engaged in

32 (A) ordering, controlling, or otherwise directing abductions, enforced

33 disappearances, or arbitrary detention of political opponents, journalists, or civil

34 society actors;

35 (B) the targeting harassment, intimidation, detention, or use of violence against

36 journalists, media organizations, or activists to suppress dissent or silence public

37 reporting on human rights violations;

38 (C) censorship, shutdowns, or other restrictions on media, internet access, or

39 freedom of expression intended to conceal human rights abuses or prevent the

Page 3
20 May 2026
A CALL FROM INTERNATIONAL COMMUNITY : FREE TUNDU LISSU AND ALL POLITICAL DETAINEES IMMEDIATELY

View: https://m.youtube.com/shorts/mBNPKP327qo
A party that once lead by Julius Kambarage Nyerere as liberation party which becomes a ruling party, how come now is an oppressor mutilating party CCM under Samia Suluhu Hassan like apartheid south african regime leaders of National Party NP ....

21 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

David Djumbe one of many innocent victims of Samia Hassan brutal bloody regime
1779380742277.jpeg

1779380876932.jpeg

David Djumbe who is also Tundu Lissu’s personal assistant has been lastest victim to be abducted by 8 men who drove him to the area belonging to the Tanzanian Intelligence and Security TISS restricted vast land
 
Back
Top Bottom