Maselebu wa Bongo na familia zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maselebu wa Bongo na familia zao

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lucchese DeCavalcante, May 17, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hii itakuwa thread maalumu ya maselebu wa Bongo na familia zao. Kwa kuanzia naanza na wake wa mastaa wa kabumbu hapa Bongo, KARIBUNI.

  Star.JPG
  Kiungo wa mtibwa sugar Abduharim Amour na familia yake

  2.JPG
  Wamkumbuka chifu Rumanyika? Hapa akiwa na mkewe

  3.JPG
  Kutoka kushoto ni mke wa kiungo wa Yanga Athumani Iddi "Chuji" na mke wa mshambualiaji wa zamani wa Simba Athumani Machupa anayecheza soka la kulipwa Sweden.
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Msanii Ismail ndani ya Zhonghua Garden akiwa na mke wake mpendwa...
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Ni Abdulhalim Humud
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Mshika mic wa Clouds FM akiwa na mchumba wake siku ya birthday yake
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Mwanamuziki Banana Zorro na wife
   
 6. Mama Nim

  Mama Nim Senior Member

  #6
  May 19, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is that baby number 2 on the way?
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160

  Zaituni walele duh nakumbuka enzi zile kigoma na watoto wa Mzindakaya kina paul na vicky wako wapi siku hizi!!
   
Loading...