Masele Mbunge wa CCM Shinyanga Mjini, awaambia wananchi kuwa kuna baa la njaa nchini

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Leo mbunge wa ccm masele alikuwa na mkutano wa hadhara mjini shinyanga amesema nchi inakabiliwa na njaa Kali sana nae anashangaa kuona serikali ipo kimya.
e6054abbeb79940be0b0399d714a4963.jpg
16f6f660a18a420cee342b4a23287977.jpg
 
Mbunge huyu HAJAKOSEA na wala HAJAMDHARAU rais Magufuli.
Ila ANAOSHA MIKONO yake kwa wananchi wake waliomchagua.
Na HASA anapoliangalia ENEO lake na hali ILIVYO.

ISITOSHE si NCHI NZIMA iliyo na NJAA.
Mahali palipona njaa TUZUNGUMZE bila WOGA.Maana ITATUOKOA
 
Kweli itamuweka Huru
 
Kuna upungufu wa chakula, njaa, afu baa la njaa!! Unaonekana hujui chochote ili mradi umeposti!! Eti baraa la njaa "nonsense"
 
Back
Top Bottom