Masekelo shinyanga wamemuonyesha Anna Kilango kuwa CCM haitakiwi

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Hivi hawa CCM wana akili kweli? Juzi CCM wamezindua kampeni zao kumnadi mgombea wao wa kata ya MASEKELO.

Jamani ni aibu bora wahesabu wamepoteza kuliko kupoteza energy yao. Mh Kilango ndo kapangwa kuokoa jahazi huku, Mkutano wao ilikuwa kama birthday yaani hata watu 40 hawakufika, mpaka ikafikia hatua ikabidi wamshushe Kilango jukwaani.

NAWAKILISHA.

watapatashida sana kipindi hiki mpaka watakapo pumuzika kwa amani 2015. Sijui uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 watajigawanya vipi kuokoa jahazi maana itakuwa kipigo kila kona.

Hivi hawa CCM wana akili kweli? Juzi CCM wamezindua kampeni zao kumnadi mgombea wao wa kata ya MASEKELO.

Jamani ni aibu bora wahesabu wamepoteza kuliko kupoteza energy yao. Mh Kilango ndo kapangwa kuokoa jahazi huku, Mkutano wao ilikuwa kama birthday yaani hata watu 40 hawakufika, mpaka ikafikia hatua ikabidi wamshushe Kilango jukwaani.

NAWAKILISHA.

CCM sasa hivi wamefikia steji ambapo kila mtu ananena kwa lugha...hawaelewani

Hivi hawa CCM wana akili kweli? Juzi CCM wamezindua kampeni zao kumnadi mgombea wao wa kata ya MASEKELO.

Jamani ni aibu bora wahesabu wamepoteza kuliko kupoteza energy yao. Mh Kilango ndo kapangwa kuokoa jahazi huku, Mkutano wao ilikuwa kama birthday yaani hata watu 40 hawakufika, mpaka ikafikia hatua ikabidi wamshushe Kilango jukwaani.

NAWAKILISHA.
Mazishi ya CCM ni 2015.

Sina hakika kama watafika 2015 manake kwa mwendo huu ni dhahiri kwamba kufika 2015 ni kudra za Mwenyezi Mungu meli yao inaweza kuzama wakati wowote kuanzia sasa hivi

...........Nashindwa kuelewa CCM ni watu wa namna gani wanashindwa kusoma majira na nyakati lol!!

Ccm ni jinamiz
Laana ya Mwalimu inawatafuna. "CCM siyo baba yangu wala mama yangu" - Mwl Nyerere

Hivi hawa CCM wana akili kweli? Juzi CCM wamezindua kampeni zao kumnadi mgombea wao wa kata ya MASEKELO.

Jamani ni aibu bora wahesabu wamepoteza kuliko kupoteza energy yao. Mh Kilango ndo kapangwa kuokoa jahazi huku, Mkutano wao ilikuwa kama birthday yaani hata watu 40 hawakufika, mpaka ikafikia hatua ikabidi wamshushe Kilango jukwaani.

NAWAKILISHA.

hii habari kwao ni 'ngumu kumeza'

Back
Top Bottom