Masau Bwire: Tunaenda kuwazika Yanga Jumatano.

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Kuelekea mechi yao dhidi ya Ndala siku ya jumatano.. msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire.. kanena mazito, namnukuu..

"Si unajua Yanga aliishauwawa na Simba kule poroni, sisi tunakutana nao Jumatano na kazi yetu inakuwa ni kuzika tu.

Anaendelea... "Tutakwenda na kuwazika na kumalizia kazi. Tumejipanga na tunataka kupata pointi tatu ili turekebishe mambo yetu."

Shikamoo Masau Bwire.. Tuna imani kubwa nanyi.. MSITUANGUSHE.
 
ila kiukweli tukatae tukubali...Simba hata ikishindwa kwa bahati mbaya kuchukua ubingwa VPL, lakini kimpira ipo juu mno kuliko Yanga kwa sasa.
 
Jamaa ana ujasiri wa kuongea lakini timu yake huwa inapigwa kipigo cha mbwa mwizi.
Yanga kiboko yake Azam FC na ndo tutakaomzika ili nyinyi Simba nanyi mnyanyue Makwapa mana mna ukame wa muda mrefu
 
Nawapongeza simba kwa mpira wa kiwango cha juu walichokionesha mechi ya juzi dhidi ya Yanga.
 
Jamaa ana ujasiri wa kuongea lakini timu yake huwa inapigwa kipigo cha mbwa mwizi.
Yanga kiboko yake Azam FC na ndo tutakaomzika ili nyinyi Simba nanyi mnyanyue Makwapa mana mna ukame wa muda mrefu
Haha.. Naimani "ndugu zetu" Azam hamtatuangusha.
 
Masau bwire hachelewi kugeuza maneno akishafungwa
Ogopa anakuambia pointi 3 wanazozihitaji toka kwa Ndala.. wanakazi nazo maalumu.. Hivyo naamini HAWATATUANGUSHA.
 
Hahahaha
Akiwapga hao chura churani itakua big deal kwa mfalme wa nyika
 
ila kiukweli tukatae tukubali...Simba hata ikishindwa kwa bahati mbaya kuchukua ubingwa VPL, lakini kimpira ipo juu mno kuliko Yanga kwa sasa.
Nahisi wewe unashabikia timu ya arsenal piah,kwahiyo tuendelehe kucheza mpira mzuri bila mafanikio(kubeba makombe)ni upuuzi kwahiyo tufurahie kuifunga yanga tu
 
Back
Top Bottom