MASASI: Mtoto wa darasa la nne amkata mwanafunzi mwenzie vidole

Tukio hili limetokea Leo shule ya msingi Chipunda wilayani masasi mwanafunzi wa darasa la nne amemkata mwanafunzi mwenzie vidole vitatu vya mguuni na kimoja kimetoka hapohapo kingine badokidigo kimalizike na chanzo cha ugomvi huo hakijafahamika lkn mtuhumiwa anadai hajakusudia 8View attachment 957862
Hii picha sijaelewa ni sehemu gani ya mwili au kisigino
 
Back
Top Bottom