Masanja bhana, hii iwafikie wanaume wote, wenye mapenzi ya dhati kwa wake zao

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,764
Points
2,000

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,764 2,000
Kumwamini sana mwanamke nao ni ujinga. Mwenye asili haachi asili.

Wokovu hauondoi tabia za asili za mtu, isipokuwa roho mtakatifu anakufanya uwe msafi ili usiwe unakosea kosea.

Sasa huyu ndugu anachokifanya inabidi neema ya Mungu imfunike kwelikweli kwasababu katika mkitadha kama huu, one mistake inakuwa Goal. Waache wokovu wa kidigitali, waingie ndani kabisa.

May almighty God bless and protect this couple.
 

Forum statistics

Threads 1,367,038
Members 521,649
Posts 33,385,598
Top