inadaiwa masanduku kadhaa ya kura yaliingizwa katika ofisi ya msimamizi wa jimbo na form fake za kutangazia matokeo. hali iliyosababisha wasimamizi wanne wa vituo fulan fulani kuitwa kwa mahojiano. lakin ikagundulika hiyo ilikuwa janja ya nyani kwani kutoka chanzo cha ndani kabisa hayo masanduku yalipoingizwa kinyemela ilitumika mbinu ya kuwaita baadhi a wasimamizi vituo wakiambiwa kuwa waliondoka ilihali wamefunga masanduku hivo wanatakiwa kwenda kuyafungua. walipofika huko ndo wakafungua hayo masanduku fake ya kura. Mpiganaji wa chadema Habib Mchange hajakubaliana na hali hiyo