Elections 2010 Masanduku ya kura yadaiwa kuingizwa kinyemela Kibaha

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
inadaiwa masanduku kadhaa ya kura yaliingizwa katika ofisi ya msimamizi wa jimbo na form fake za kutangazia matokeo. hali iliyosababisha wasimamizi wanne wa vituo fulan fulani kuitwa kwa mahojiano. lakin ikagundulika hiyo ilikuwa janja ya nyani kwani kutoka chanzo cha ndani kabisa hayo masanduku yalipoingizwa kinyemela ilitumika mbinu ya kuwaita baadhi a wasimamizi vituo wakiambiwa kuwa waliondoka ilihali wamefunga masanduku hivo wanatakiwa kwenda kuyafungua. walipofika huko ndo wakafungua hayo masanduku fake ya kura. Mpiganaji wa chadema Habib Mchange hajakubaliana na hali hiyo
 
Komagi, hii ni wapi naomba fafanua zaidi ndg. hatari sana hawa.
 
wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:nono:
 
tupe habari ndugu!mana watz wamegandamizwa mpaka mwisho sasa kilichobaki ni kuinuka juu
 
Back
Top Bottom