Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na CHADEMA(Anti-Zitto).
Lakini kwa ufuatialiji wangu inaonekana Kundi la Masalia likiwa kwenye wakati mgumu zaidi kisiasa, kwa sababu ya;
1/KUSALITIWA(Saanane, Mamuya etc)
2/KUANIKWA HADHARANI(Mipango, Wahusika etc)
3/KUDHARAULIKA(Ushirikina, kuhongwa, kutumiwa nk)
*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?