'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Concrete

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,605
549
Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na CHADEMA(Anti-Zitto).

Lakini kwa ufuatialiji wangu inaonekana Kundi la Masalia likiwa kwenye wakati mgumu zaidi kisiasa, kwa sababu ya;

1/KUSALITIWA(Saanane, Mamuya etc)

2/KUANIKWA HADHARANI(Mipango, Wahusika etc)

3/KUDHARAULIKA(Ushirikina, kuhongwa, kutumiwa nk)

*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?
 
Mkuu hao jamaa wapo hoi sana, kule fcbk naskia kuna mmoja wa masalia kaiblock account yake kwa aibu, pia yule masalia mwenye akili ndogo kuliko wote bw. Mtela Mwampamba naye amewa-unfrend rafiki zake wengi kwenye fb account yake.
Hapa yani wapo hoi maana kamanda Ben anazo hadi audio alizowarekodi kipindi wanapanga mipango yao michafu.
 
Last edited by a moderator:
Wamerudi lango kuu la kuzimu kigoma, uko wamenda kurenew matunguri yao, wakirudi wote tuliowachana humu wataua had mende makwetu,.
 
Ila imefika wakati nae Dr Slaa aachie kiti kupisha uchunguzi maana yawezekana shutuma walizotoa masalia ni za ukweli. Dr kama chadema tumekuwa tunatoa matamko mbalimbali pale shutuma dhidi ya viongozi wa CCM zinapotokea na kuwataka wajiuzuru ili kulinda heshima ya Dr slaa inabidi akae pembeni na uchunguzi ufanyike kwenye shutuma hizi:
Dr Slaa ni mbaguzi uchunguzi ufanyike ili kujua kama ni kweli au la. Maana kiongozi mzuri ni yule anayeunganisha watu wanaompinga na wale wasiompinga na daima kuna usemi usemao "I IS KNOWN BY NONE I" Wanaomkubali DR tunaweza sema Dr slaa yupo safi lakini wanaompinga wanahoja pia wasikilizwe.
Shutuma ya UFISADI wa karatu na viwanja vya mabwepande achunguzwe maana mficha maradhi kifo humuumbua hizi ni hoja zitakazotumiwa na CCM 2015 tuchunguze sasa ili kujua ukweli wa mambo.
Pia shutuma ya kuvunja katiba na kumpa bwana Heche TSH LAKI SABA kinyume na scale ya chama. Hili nalo achunguzwe maana kama anavunja katiba ya chama akiwa Raisi itakuaje?
Wito wangu Dr Slaa aachie kiti ili uchunguzi ufanyike dhidi yake au ajiuzuru.Maana daima ukweli umueka mtu awe huru kama ukweli ukipatikana Dr slaa, Masalia etc watakuwa huru na hawata shutumiana tena.
Angalizo si kila anayempinga Slaa ni masalia maana "Dr Slaa si Chadema" hivyo Dr slaa nae ni mtu anafanya makosa kama wayafanyayo akina Zitto, Lowasa etc
 
Never trust mtu yeyote toka Kigoma. Kigoma zaidi ya 75% ya wakazi ni wahamiaji hivyo hawana uchungu wa kweli na Tanzania zaidi ya kutafutia matumbo yao take a slight example,,, 1. Dr. Amani Waridi Kaburu,,2. Chifu... 3. Zito Kabwe ...4. Kafulila... 5. Msambya etc. Hiyo ndo kigoma na acha masuala ya kuzusha uongo hapo ndo usipime!!!
 
Na wewe si ni miongoni mwa hao Masalia?
Tuhuma siyo hoja.... hoja ni tuhuma ziwe na ukweli siyo za kubumba. Endelea kuchukua noti zako kwa Magamba

Hizo ndizo siasa za ukanda zinazokataliwa. Never trust people from northern zone, hao wanamafungamano na wakikuyu na wajaruo na pia MUNGIKI NI WENGI SANA, tuchukue hatua watatufikisha pabaya ikiwemo viongozi wetu kupelekkwa THE HAGUE. kwa wastani wote ni wahamiaji
 
Na wewe si ni miongoni mwa hao Masalia?
Tuhuma siyo hoja.... hoja ni tuhuma ziwe na ukweli siyo za kubumba. Endelea kuchukua noti zako kwa Magamba

Ndio nilijua Tu utanita masalia kwa kuwa ndio msamiati mliobakiwa nao. Lakini hizi shutuma zimeelekezwa kwa Dr Slaa inabidi kama kweli hajatenda ukweli utajulikana nyie mnaogopa nini? Tumekuwa mabigwa wa kutoa matamko pale viongozi wa ccm wanavyotuhumiwa kwa nini tusitumie utaratibu huo huo kwa Dr slaa maana nae anatuhumiwa sasa?
 
Alafu mbaya kabisa hawa jamaa wanadhani wanamuweka Zitto ktk nafasi nzuri kumbe ndo wanazidi kumtia aibu kwa hoja zao za kitoto.

Mkuu Daudi Mchambuzi,
Hawa jamaa walishajua kwamba hata bosi wao hawezi kupenya kwenye chekeche la Chama. Sasa wanachofanya ni kutumikia ile kauli ya Pinda ya 'Liwalo na liwe'. Yaani 'bora tukose wote!' Bahati mbaya sana wanakosa wao.

TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?

Hili kundi halikuwa limesimama hata kwa dakika moja. Nasema hivyo kwa sababu Members wengine wote wa PM7 walijifunga nazi vichwani na kumtegema Ben Saanane kwa mikakati na utekelezaji. Walilokuwa kuwa na uwezo nalo ni kuanzisha mawazo ya uovu tu lakini wasijue mbinu na harakati sahihi za kuyatekeleza. Kuondoka kwa Ben Saanane ni kifo cha jumla kwa Masalia. Utaona kweli Ben Saanane ndiye alikuwa na uwezo mkubwa wa kulifanya kundi ama liishi au life. Haya yanajodhihirisha katika ushauri/maelekezo ya Kitila Mkumbo kwa Ben Saanane kuliua kundi baada ya kubaini kuwa na watu wenye uwezo mdogo na waropokaji kama Mchange.
 
Never trust mtu yeyote toka Kigoma. Kigoma zaidi ya 75% ya wakazi ni wahamiaji hivyo hawana uchungu wa kweli na Tanzania zaidi ya kutafutia matumbo yao take a slight example,,, 1. Dr. Amani Waridi Kaburu,,2. Chifu... 3. Zito Kabwe ...4. Kafulila... 5. Msambya etc. Hiyo ndo kigoma na acha masuala ya kuzusha uongo hapo ndo usipime!!!

They are trusted in sinister missions...see below:

Moja ya mawasiliano ambayo yanazua mashaka yanaonyesha Zitto akikiri kuwa na mawasiliano na waasi nchini Kongo akiandika, "take it from me (niamini), nina contacts nyingi sana Congo na hao rebels (waasi) huwa wananiomba sana ushauri na kutaka kuwaunganisha." Chanzo: MwanaHalisi
 
Ndio nilijua Tu utanita masalia kwa kuwa ndio msamiati mliobakiwa nao. Lakini hizi shutuma zimeelekezwa kwa Dr Slaa inabidi kama kweli hajatenda ukweli utajulikana nyie mnaogopa nini? Tumekuwa mabigwa wa kutoa matamko pale viongozi wa ccm wanavyotuhumiwa kwa nini tusitumie utaratibu huo huo kwa Dr slaa maana nae anatuhumiwa sasa?
Kama unaijua katiba ya chama na sheria za vyama vya siasa bila shaka usingechangia ki-hivyo.... Chimbuko la hayo yote ni matokeo ya ukosefu wa maadili yaani (leadership ethics). ...... Hiii inadhihilisha ni jinsi gani Masalia msivyo na sifa ya Uongozi bali ni wasaliti na wanafiki
 
Ninavyoona hizi siri za masalia kuvuja ni kama zimewashtua sana hata viongozi wangu wa CCM, maana walikuwa watumike vizuri kama mtaji wa kuiangamiza CHADEMA.
 
hakuna rangi wataacha ona PM7 zama zao zimeisha kisiasa.... mi kila siku nawapa changamoto kuwa kama kweli slaa ni fisadi wakaseme majukwaani waone umma wa watanzania utakavyowahukumu. nahisi itakuwa zaidi ya kilichompata mtikila kule tarime
 
Kama unaijua katiba ya chama na sheria za vyama vya siasa bila shaka usingechangia ki-hivyo.... Chimbuko la hayo yote ni matokeo ya ukosefu wa maadili yaani (leadership ethics). ...... Hiii inadhihilisha ni jinsi gani Masalia msivyo na sifa ya Uongozi bali ni wasaliti na wanafiki
Najua neno masalia ndio msamiati mlio bakiwa nao. Dr Slaa anashutunia kwa nini asipishe uchunguzi ufanyike? Kiongozi tena katibu anavunja katiba ya chama Tunamchekea na kumtetea hivi mnataka Tutengeneze selikari ya aina gani?
 
Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na CHADEMA(Anti-Zitto).

Lakini kwa ufuatialiji wangu inaonekana Kundi la Masalia likiwa kwenye wakati mgumu zaidi kisiasa, kwa sababu ya;

1/KUSALITIWA(Saanane, Mamuya etc)

2/KUANIKWA HADHARANI(Mipango, Wahusika etc)

3/KUDHARAULIKA(Ushirikina, kuhongwa, kutumiwa nk)

*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?

nashukuru kwakukiri kwamba chadema ni ant zitto.
 
Kama unaijua katiba ya chama na sheria za vyama vya siasa bila shaka usingechangia ki-hivyo.... Chimbuko la hayo yote ni matokeo ya ukosefu wa maadili yaani (leadership ethics). ...... Hiii inadhihilisha ni jinsi gani Masalia msivyo na sifa ya Uongozi bali ni wasaliti na wanafiki

Katibu mkuu anashutumia kwa UBAGUZI sie tunabaki kusema Masalia, masalia etc Kiongozi mzuri ni yule anaeunganisha watu si kuwagawa watu. Uchunguzi wfanyike kujua kama ni kweli au la.
 
Back
Top Bottom