Masako kibaraka wa CCM

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?
 
Masakao ni mzee wa ajabu sana. Kwanza huwa anakosea sana kusoma, hasa majina ya watu. Inapofika kwenye magazeti ya kiingereza hapo ndo utamhurumia mzee wa watu. Anajikanyaga kweli.

Mimi huwa namwita "Mzee wa Kuchapia"
 
Unataka awe kibaraka wa chadema ndio moyo wako utapata amani?.ccm ni kila mahali itakuwaje ushabikie vyama vya makomandoo na magwanda?.masako ni mzee anaeona mbali tumuige.
 
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?
mkurungenzi mtarajiwa wa TBC taifa - unataka aisemee ovyo ccm? karagabaho.
 
anataka ukuu wa wilaya bahati mbaya nilishaacha kusikiliza magazeti itv bora channel ten
 
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?

Masako ni mwanamagamba wa ukweli,

Mwaka jana alijitosa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huko ulanga akamwagwa kwenye kura za maoni.

Na ukifuatilia vipindi vyake itv hasa kipima joto, utagundua kwamba ni mtetezi wa serikali na chama chake cha magamba.
 
kuna post moja niliiona hapa jf ambayo nimekuja kukubaliana nayo kwa kiwango kikubwa, inasema: "Tanzania ni zaidi ya uijuavyo"!!!
 
hivi hamjui kuwa mtawajua kwa matendo wale wote walio kinyume na kazi ya taaluma zao? masako mwenyewe anaganga nja kwa mengi, mengi naye anajikomba kwa watawala ili wasije muumbua ktk ufisadi wake.yeye anadhani kuwa anasidia ccm kwa kuto soma vichwa kumbe anachochea hisia za udadisi wa habari na usomaji ktk habari fichwa! je hamkumuona akisoma matokeo ya urais akijifanya nec ya itv?! akumbuke kuwa kila kitu kita wekwa hadharani 2015 na hapo ndipo watakapo imba kwa wimbo bila koras na koras bila wimbo! ukombosiwowote ktk taifa huletwa na kundi ndogo ktk jamii likiwakilisha mahitaji na dhiki kubwa ya jamii. kundi hili ni chadema na chadema ni nguvu ya umma! umma ni upepo, umma ni maji, umma ni moto,je katika hili ni wapi ambapo nguvu hii iliwahii kushindwa na dola????

Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?
 
Huyo ni mwanachama wa ccm, anatete maslahi ya chama chake.
 
masako na taarifa ya habari wapi na wapi, vijana wote wamekimbia amebaki na vijeba watupu, mwambieni aache ubahili wa kichagga.
 
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?

Huyu si kibaraka wa magamba ila ni mwanachama wa magamba. Kwa taaluma yake hakupaswa kuonyesha wazi wazi kuwa amelalia wapi katika vyama vya siasa. Na huyu hayuko peke yake katika watangazaji/waandaaji wa vipindi wengi wa vituo vya television ambao wanaonyesha kuegemea upande fulani lakini mara nyingi sana wengi kama sio wote wana tabia ya kujipendekeza sana kwa chama tawala. Aidha wanaweza wakawa wanapata maelekezo fulani kutoka kwa wamiliki wa vyombo vya utangazaji na kwa sababu lazima walinde vibarua vyao basi hawana budi kufuata maelekezo wanayopewa. Chukua mfano wa habari zinazorushwa na itv zikimhusisha reginald mengi. Utasikiliza mpaka utatamani kulifungilia mbali hilo li-tv kwa sababu habari hiyo itachukua muda mrefu kuliko kawaida kwa sababu pale mtu anapalilia kibarua chake. Kuhusu masakuu ni kwamba yeye hakuna siri kuwa ni magamba wa ukweli kwa sababu alishawahi hata kutaka kugombea ubunge kupitia magamba ila wakamdondosha hatua za mwanzo. Nionavyo hata kama vyama vingine vianzishe tv na radio zao zitapigwa vita na serikali ya magamba kwa kubambikiwa makodi makubwa na kila adha ili wavifunge as long as magamba ndiyo wako madarakani.
Licha ya kutokuwa na ushabiki wa chama chochote lakini ukweli NIKIMUONA MTU ANASHABIKIA CHAMA CHA MAGAMBA NAONA KICHEFUCHEFU
 
kipindi cha kutangaza nia nilimuona nia ya kugombea ubunge kwenye kipindi cha itv cha natangaza nia lakini alimwagwa kwenye kula za maoni.mia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom