Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Kapata darasa kutoka kwa Lissuangalau kwa hili masaju kasimamia kwenye ukweli. kaamua kuacha vigelegele.....
Sidhani kama hayo ni meneno ya AG Masaju,hayo yaliyonukuliwa ni maneno ya Tundu Lissu,sidhani kama Masaju ndio aliyasema hayo maneno.angalau kwa hili masaju kasimamia kwenye ukweli. kaamua kuacha vigelegele.....
angalau kwa hili masaju kasimamia kwenye ukweli. kaamua kuacha vigelegele.....
Sidhani kama hayo ni meneno ya AG Masaju,hayo yaliyonukuliwa ni maneno ya Tundu Lissu,sidhani kama Masaju ndio aliyasema hayo maneno.
Nimesikiliza video fupi mtandaoni,hiyo nukuu aliyowekewa AG Masaju ilisemwa na Lissu,na aliposema "Maamuzi ya kijinga ya Rais",yule Mama Jenista aliomba Lissu afute hayo maneno,akasema si ya kibunge.Nafikiri kabla ya machweo ya jua la leo na jogoo la kesho kuwika,AG Masaju ataikana hiyo nukuu.Tanzania Daima wajiandae kuomba "Radhi".
Jana nilishangaa kidogo,pale Lissu aliposema maamuzi ya "kijinga" toka kwa mkuu wa nchi,Jenista akasimama akasema "sio lugha ya staha kwa Rais",Lakini nikajiluliza,mbona Rais alimuita yule Katibu Mkuu wa Nishati "Stupid?"...Rais aliwahi ita watoto wa wenzake "vila.za"....Anachofanya baba,ndicho watoto wanaiga.Walio karibu na mkuu,nao wamkumbushe ajaribu kuhimili "hasira",matokeo yake anatukana watu na watu nao wanamtukana.
Bila shaka walioitwa "vila.za" na yule aliyeambiwa "Stupid",wakisikia Rais kaambiwa anafanya maamuzi yq "kijinga" nao watafurahia na si kuhamaki kama Jenista Mhagama
Nanukuu.. HAWA NDIYO VICHAA TUNAOHANGAIKA NAO... Mwisho wa kunukuuSidhani kama hayo ni meneno ya AG Masaju,hayo yaliyonukuliwa ni maneno ya Tundu Lissu,sidhani kama Masaju ndio aliyasema hayo maneno.
Nimesikiliza video fupi mtandaoni,hiyo nukuu aliyowekewa AG Masaju ilisemwa na Lissu,na aliposema "Maamuzi ya kijinga ya Rais",yule Mama Jenista aliomba Lissu afute hayo maneno,akasema si ya kibunge.Nafikiri kabla ya machweo ya jua la leo na jogoo la kesho kuwika,AG Masaju ataikana hiyo nukuu.Tanzania Daima wajiandae kuomba "Radhi".
Jana nilishangaa kidogo,pale Lissu aliposema maamuzi ya "kijinga" toka kwa mkuu wa nchi,Jenista akasimama akasema "sio lugha ya staha kwa Rais",Lakini nikajiluliza,mbona Rais alimuita yule Katibu Mkuu wa Nishati "Stupid?"...Rais aliwahi ita watoto wa wenzake "vila.za"....Anachofanya baba,ndicho watoto wanaiga.Walio karibu na mkuu,nao wamkumbushe ajaribu kuhimili "hasira",matokeo yake anatukana watu na watu nao wanamtukana.
Bila shaka walioitwa "vila.za" na yule aliyeambiwa "Stupid",wakisikia Rais kaambiwa anafanya maamuzi yq "kijinga" nao watafurahia na si kuhamaki kama Jenista Mhagama
Lissu ni mzalendo. Kupaza sauti kwake mapema,hata ikijaonekana mapungufu baadae, kumesaidia kupanua ufahamu kwa wengi! Hii ndo tabia za kizalendo zinazotakiwa,kuliko ile ya kujua jambo na kukaa kimya .Kapata darasa kutoka kwa Lissu