wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,057
- 1,710
kwanza natumaini wote ni wazima napenda wote tushirikishane mambo gani ambayo ulikumbana nayo uchaguzi wa mwaka 2015. kwa kuanza na mimi mwenyewe nilitishiwa maisha na kuambiwa akipita magufuli nijiandae kuhama kwa kuwa atakaye pita ni lowasa je wewe kama mwanaharakati yapi yalikukuta ?