Nenda kwenye setting, options zote unazotaka zipo huko...Kwann unataka kujiondoa?
Nenda kwenye setting, options zote unazotaka zipo huko...Naombeni wenye ujuzi wa namna ya kujiondoa kwenye facebook na kuifunga akaunti isionekana na mtu yeyote.
Naombeni mnisaidie kwa wote mnaofahamu.
Nenda account setting then security setting then deactivate tiririka mkuuOK najaribu mkuu
Lakini ungeelezea kwa kina ingependeza zaidi