Suip
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,314
- 760
Kwa wenye kufahamu tafadhali simu yangu ya Tecno C9 miezi miwili iliyopita ilikuwa imepata tatizo la kuwaka hadi pale inapoandika neno Hios optimizing 1 app of 1,bila kuendelea na itakaa hapo mpaka izime,nikaipeleka kwa fundi wa simu akaiflash.
Sasa yapata siku ya tano nikiwasha inachukua muda mrefu kufunguka ikifikia kwenye neno Camon itakaa hilo neno kwenye screen kwa zaidi ya dakika 30 hadi saa nzima ndipo inafunguka.
Na ukigusa app ya My Picture inazima na kuanza kufunguka(restart) hivyo kwa muda mrefu.
Naweza kufanya nini kwa wenye uzoefu ili iweze kurudi kawaida.