Masada:-Simu yangu ya Tecno C9 inachelewa kuwaka

Frp na anachosema mleta uzi ni deal mbili tofauti.

Mleta uzi suluhisho hapo ni kuiflash tena na kuinstall software inayoendana na simu yako, rudi kwa huyo huyo fundi kama hautaki kutumia pesa zaidi maana atakua anamalizia marekebisho aliyoyaanza.

Au nenda duka la tecno, kama upo Dar nenda pale kwenye sanamu la Bismini halafu muulize mtu yeyote duka lilipo.
Kuna watu wanasema afanye Factory reset, ndio niliokuwa nawajibu kuwa
hii misimu ya siku hizi akiingia huko tu itakuwa amejiingiza kwenye FRP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom