Masada: Samsung galaxy note 1 haiwaki

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
62
Ndugu yangu ana simu ya galaxy note one. Iliisha charge na kuzima, akaicharge ikawa asilimia 60 hivi. Akajaribu kuiwasha ikawa inafika kwenye maneno Samsung galaxy note one kisha inazima. Baadaye akijaribu kuiwasha haiwaki kabisa. Msaada tattoo hapa linawezekana kuwa nini?
Natanguliza shukrani.

.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom