Tetesi: Masada Nacte

Rakim Swaleh

New Member
May 17, 2019
3
0
Kwa Callender ya Nacte Siku ya tarehe 15 may 2019 ni ufunguzi wa Udahili. Majira ya saa sita usiku 15 may 2019 nilifata utaratibu wote wa Application na kukamilisha nikachagua vyuo vitano. System ilitaka ni fanye follow up mara kwa mara kwa updates zaidi.
Siku ya tarehe 17 may 2019 system ikawa imefungwa .
Swalii ni Je, ambao tumefanya application tangu 15 may 2019 na swala la kufungwa kwa System za Application haitakuwa na Effect kwetu. ..??
 
Naona ungesubiria tu system itakapofunguka tena unaweza kutembelea ile profile yako kuangalia hali inaendeleaje
 
Back
Top Bottom