Masaburi kavunje na hii;bodi ya atcl imekwisha muda tangu april.bado wanagaiana doller 500 vikaoni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Mh masaburi nahisi speed yako tunaitaji kukuingiza kwenye mashirika ya umma maana
nahisi unaitaji kuongezewa mamlaka kadhaa kuweka sawa baadhi ya wahusika
pamoja na kuteua act ceo mwenye uwezo ambae inshallah mungu akisaidia anaweza chaguliwa
kama ceo rasmi badala ya acting lakini naomba niwakaumbushe mh waziri hiyo bodi ya atcl
imekwisha muda wake tangu april..je vikao wanavyokaa kugaiana doller 500 kwa kikao
wakati kampuni aipo wanapata hela wapi????
Majibu yako mh waziri yatasaidia kuendeleza kupunguza idadi yakina jairo kwenye mashirika ya umma
naomba kuwe na heshima kama muda umeisha sidhani wamekosekana watu wenye akili zao kuendelea
kutumikia kampuni na kama awako kwa ajili ya umma je vikao wanavyokaa wanapata wapi hela???
Ama mh waziir na wewe unapata mgao wa kikao
 
Back
Top Bottom