Masaa ya kazi

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
944
1,252
Je ni sahihi mtu kufanya kazi kwa zaidi ya masaa 15 kwa siku bila overtime?
 
huo ni unyanyasaji wa hali ya juu sana kampuni gani mkuu hiyo kawaida huwa masaa manane ukizidisha lazima ulipwe overtime
 
Hasa mashirika ya kidini unaanza kazi SAA mbili Asubuhi mpaka SAA kumi na moja jioni. Sidhani kama Ni sahihi
 
Back
Top Bottom