MASAA 48 ya muhimu; wakati CHADEMA wakiipoteza CCM, polisi waingia rasmi kuwaokoa

wananchi wa kalenga mkapige kura kuchagua viongozi wenu, msitishwe na majigambo ya chadema, chama pekee chenye uhakika wa kuendelea kuwapa maisha mnayoyataka ni CCM. Kilifanya, mnalijua hilo, kinafanya na kitaendelea kuwa nanyi katika changamoto hizi za kimaendeleo.
 
wananchi wa kalenga mkapige kura kuchagua viongozi wenu, msitishwe na majigambo ya chadema, chama pekee chenye uhakika wa kuendelea kuwapa maisha mnayoyataka ni CCM. Kilifanya, mnalijua hilo, kinafanya na kitaendelea kuwa nanyi katika changamoto hizi za kimaendeleo.
kalale we bwabwa una akili kawaambie upuuzi wako familia yako maana ndo iliyobakia ------- na akili mgando!
 
Hii post muhimu ngoja tuipe hifadhi.
tena uwambie MODS wa take note kabisaa na unafiki wao uliojaa wa kupendelea chama chakavu cha wanywa damu(VAMPIREs) na ma-agents wao RITZ na Leomimi ndio wakusanya damu. Kifupi JF imeshakua Bango la campaign La Masisiemu.
 
Nawatakia uchaguzi uwe wa amani na utulivu ili tuone demokrasia ya kweli ikidhihiri.
 
Mlioko Kalenga tafadhali hakikisheni kura hazichakachuliwi kabisa, mtu na mtu mguu kwa mguu mpaka matokeo,
Watanzania tumejiandaa kabisaaa kushangilia mumiani Ccm wakielekea kwenye anguko KUU!
PEOPLEEEEEEEEEES!!

Poweeeeeeeer
 
Sasa kama kisheria awana mamlaka hayo kwanini wanaxuiya? Mwl alisema nchi inaongozwa na sheria vp tena tunakwenda wapi nchi hii?
 
waccm wajinga sana, kama wanzuia chopa siku ya uchaguzi basi pasiwepo na usafiri wa aina yoyote ile miguu yao pekee ndio itumike kama usafiri la sivyo chapa za makamanda lazima zitumike. Kama vip wakanunue na wqao kama wanaona cdm wanafaidi kwani shida iko wapi au hazina imeishiwa? Rit kaimaliza yote? Chonde chode Chalinze mkichagua fisadi hilo itaramba kwenu mazima ukoo wa panya huo msijaribu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Nimemskia kupitia redio ebon fm..... kimsingi ametumwa na ccm na amesema hapa si sombetin na si kwa wakulya wala wamasai....
Kwa maneno haya katumwa na alikuwa ana wasuta chadema
Tatizo hawa wenzetu wanajisahau sana, nafasi walizopewa inabidi wawe na upeo wa kuiona Tanzania nje ya ccm, cdm, tlp nk. Yuko hapo anakula pesa ya umma lakini hajui ni kiasi gani watu walitumia kupigana na ukabila alafu wao wanaibuka na kuanza kuuchochea upya, kisa!? washinde ubunge wa jimbo.
Ni wazi sasa kuwa naye hana tofauti na wajumbe wa bunge la katiba kutoka chama chao hicho.

 
Hata iweje Chadema itarusha helkopita zake bila kikwazo chochote, bahati mbaya kwao nikuwa helkopita haihitaji uwanja mkubwa ili itue auvkupaaa,

Sasa tutapambana nae kwa nguvu zote, alionekana kama mtu anaefanya kazi kwa weledi lakini sasa sura yake halisi inaanza kujionyesha.

Yericko, kwa sisi tunaoendaga Mstari kwa Mstari na neno kwa neno - Sioni zuio la kutumia Chopa pale. Hebu ona hapa haya mazuio matatu na la Chopa ni tatu

1.Hatutaki kuona walinzi wa chama chochote katika Jimbo la Kalenga. Jukumu la kulinda uchaguzi, maisha na mali ya wana Kalenga ni la JESHI LA POLISI.
2. Hatutaki kuona watu wasiokuwa na shughuli maalumu wanapitapita katika maeneo ya kupigia kura.
3. Siku ya uchaguzi si siku ya kampeni. Hatutaki kuona helikopita za vyama vyote zenye kuashiria kufanya kampeni.


Kumbe basi Chopa, Magari, Pikipiki, Baiskeli, Punda, Ngamia na kila aina ya usafiri inaruhusiwa isipokuwa tu Vyombo vyote hivyo visiwe na Viashiria (Alama) za kuonesha kuwa wanapiga kampeni. Infact hata hiyo siyo kazi yao ni kazi ya Tume a Taifa ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom