Masaa 24 bila umeme,ubungo NHC nini sababu?

king's lawyer

JF-Expert Member
May 4, 2015
408
357
Salamu wadau,
Pasaka haikuwa nzuri eneo nililolitaja na Tanesco wako kimya!tunavuja jasho na pilau ya sikukuu inaoza kwenye friji.
Hivi tatizo lolote lililopo limeshindwa kutatuliwa?na Tanesco muko kimya kwa masaa 24?na tunaelekea kwenye masaa 48 sasa,nini shida?
 
Sio ubungo NHC tu ni mpaka Ubungo Msewe, Changanyikeni, Makongo Juu na kimara baruti.
Tokea asubui Tanesco wameshindwa kurekebisha transfoma iliyoleta itilafu.
 
Eneo letu tangu jana usiku kaka,hatujajua hata shida nini,kumbe ni sehemu kubwa.
Basi hata watu wajue basi watu wanakaa tuvhajui tatizo nini inaudhi kweli, tunawapa pole sana dar hii bila umeme nusu saa tu hoi
 
Back
Top Bottom