Mary Nagu ubabe wako hauna utu

Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
10
Niliwahi kusema juu ya Buriani na tabia zake za wasichana wa ndani na watumishi wake kwa ujumla .Nilipiga kelele na hata kuhohi utawala bora na ajira haramu na kunyanysa watumishi .

Mary Nagu pamoja na vyeti feki vya PhD nakujiita Dr. bado ubabe wako unaumiza watumishi .Mary Nagu tabia ya kuwapa treatment hawa madereva wako na hata watumishi wa ndani kinyama so jambo na ni kinyume cha dhamana yako kama waziri .Sijui kama JK hili analijua na kama halijui leo nakandamiza hapa kwamba mahusiano yako na watumishi wako ubabe na unyanyasaji unatia kinyaa sana sana .
Mnaojua zaidi habari za huyu Mama tafadhalini njooni tukandamize huyu mama ajue kwamba tunamjua sasa .
 
Hiyo ya PhD feki nakubaliana na wewe kwamba inambidi atangaze hadharani kukataa rasmi asiitwe tena "Docta", kwa kua chuo alichosoma ni sawasawa na mtu kupeleka cheti cha Magomeni University - Dar es salaam akiomba ajira wizara ya nishati na madini.

Hiyo ya unyanyasaji wa madereva na wafanyakazi.....mmhhhhh, I think we need more dataz..

Afterall, I like usemi wako wa kulinganisha bucha ya nguruwe na kibali cha kuingiza dawa. If it is true, then something needs to be done.
 
Mary Nagu pamoja na vyeti feki vya PhD nakujiita Dr. bado ubabe wako unaumiza watumishi....

Mnaojua zaidi habari za huyu Mama tafadhalini njooni tukandamize huyu mama ajue kwamba tunamjua sasa .
Na wewe unafeki hata username? wote mpo sawa tu... WanaJF hii tabia ya kuwa na mausername kibao ilaaniwe... na huyu Lunyungu anapaswa kukandamizwa kibara na kizenj vilevile...
 
Na wewe unafeki hata username? wote mpo sawa tu... WanaJF hii tabia ya kuwa na mausername kibao ilaaniwe... na huyu Lunyungu anapaswa kukandamizwa kibara na kizenj vilevile...

Tafadhali jibu hoja mkulu kama huwezi acha kusema kitu wengine waendelee.Ninakandamiza kwa uhakiki kwamba more data naziendea
 
huyu mama niliwahi kukumbana naye kwenye ofisi za wahindi ameunga foleni kutaka kuonana na bosi mhindi(contractor), nilipofika yule bosi akaniona kwenye kamera yake akaomba niingie kablaya waziri. nikamwuliza kulikoni mzee huoni nilipaswa kusubiri mpaka uongee na waziri kwanza...jibu..hii mama imezidi njaa kila siku hii. kila siku taka jengewa mara jiko mara marumaru... haina bwana hii...inasumbua sana hii...sasa iko taka jengewa tena nymba ingine! wapi pesa ya kujenga bureee
 
Mimi I had a diff story wacha hii ye Nagu na akina Makamba kupanga foleni kuchukua pesa za wahindi .Huyu Mama ana maajabu sana .Nimewahi kukutana naye katika kusanyiko fulani nilijichomeka kwa kuwa nilikuwa na rafiki yangu watu walianza kusema kwamba huyu ni hovyo mkaidi na hana utu .Rushwa yake ni chini kwa chini afadhali Mwikimbi kumbe nawe umeipata.Wanatumia madaraka kutisha na kupewa bure .Hawa ndiyo wanaongelea kuiondoa rushwa .
 
Kuna kashfa inakuja mbeleni....
Amezuia kupitishwa kwa BOARD moja muhimu sana ktk moja ya taasisi zilizopo chini ya wizara yake, huku akijua bunge la bajeti linakuja na taasisi haijaweza kuitisha hata kikao kimoja cha bodi kupitisha bajeti yake (anajua afanyalo) pia taasisi hiyo inakabiliwa na migogoro mingi kutokana na kutokuwepo na bodi mpya. Majina anayo ila ameyakalia nusu mwaka sasa.....
Amulikwe huyu
 
Kumbe na Nagu ni wale wale naye sasa nimemjua! Je ana mume huyu? Maana hawa huwa wanawafisadi hadi waume wao ati. Naeleweka???
 
Alipokuwa ktk wizara ya sheria alikuwa anajisahau ktk majukwaa akilalamikia baadhi ya sheria kandamizi huku akijua yeye ndiye mwenye dhamana ya kuchocheza mabadiliko ya sheria hizo...... Kibaraka si mpaka awe for whites
 
Kumbe na Nagu ni wale wale naye sasa nimemjua! Je ana mume huyu? Maana hawa huwa wanawafisadi hadi waume wao ati. Naeleweka???
Huyu mama ni jirani yangu, ni mwenye huruma sana.Ame saidia watu wengi ambao wanashida mbalimbali.Amewasomesha watoto yatima.Anafanya kazi sana za kitaifa na jimbo lake.Juzi alikuwa China, ilitokea matatizo ya ardhi ambayo yalikuwa yasababishe umwagaji damu , pamoja na kuwa nje ya nchi alihakikisha kuwa wapiga kura wake wanapatiwa suluhisho ambalo haliwezi likawa letea matatizo.Jamani tuzungumze ukweli, tuachane na siasa za kuchafuliana.
 
Tihi tihi tihi
Hata chui ana mkwe. Nani asiyetetewa hasa akiwa na nafasi na hela?
 
Niliwahi kusema juu ya Buriani na tabia zake za wasichana wa ndani na watumishi wake kwa ujumla .Nilipiga kelele na hata kuhohi utawala bora na ajira haramu na kunyanysa watumishi .

Mary Nagu pamoja na vyeti feki vya PhD nakujiita Dr. bado ubabe wako unaumiza watumishi .Mary Nagu tabia ya kuwapa treatment hawa madereva wako na hata watumishi wa ndani kinyama so jambo na ni kinyume cha dhamana yako kama waziri .Sijui kama JK hili analijua na kama halijui leo nakandamiza hapa kwamba mahusiano yako na watumishi wako ubabe na unyanyasaji unatia kinyaa sana sana .
Mnaojua zaidi habari za huyu Mama tafadhalini njooni tukandamize huyu mama ajue kwamba tunamjua sasa .

natofautiana na wewe 100%..hayo ya PhD feki siyajui lakini kuhusu wafanyakazi wake i want to tell you categorically Mama Nagu anakaa na wasichana 3 wote ni watoto wa ndugu zake hakuna housegirl hata mmoja..2 of them wanafanya kazi mmoja ndio namuona ona pale home anapiga mambo ya ubeki tatu...i have been in her house severally i havent noticed hiyo unayosema unyanyasaji...please do your home work kwanza sio unakimbiakimbia tu kuchafua watu..i hate this..please dont take thing personal bana...
 
Nimejaribu kusoma na kutaka kuelewa hoja/maudhui na nia iliyo nyuma ya tuhuma zilizotolewa na mtoa mada hapo juu bila mafanikio sana.

Naomba nieleweshwe nini hasa maana na manufaa ya shutuma hizi ambazo kwa kweli hazionyeshi kuwa na uthibitisho wa ukweli. Kwani anaezitoa anaomba data zaidi. Kwanini usiombe data hizo kabla ya kushutumu? Naamini kuwa, kama angekuwa na data za kutosha, angekuwa na nafasi nzuri zaidi ya kushutumu na kulalamikia tabia hizo za Mama Nagu.

Kwanza mtoa mada amedai Mama Nagu ana vyeti feki. Bila kusema amejuaje, ana uhakika gani n.k. Pili akarukia nyumba yake na kuanza kushutumu jinsi anavyo treat watumishi wake wa ndani na drivers wake. Bila kusema amewafanyia vitendo gani vya kidhalimu. Tatu anadhani JK anatakiwa kujua Mama Nagu anavyoishi na watumishi wake wa nyumbani. C'mon, what is this?

Siasa za Bongo bwana!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom