Mary Nagu: The most incompetent cabinet Minister

"TI: So what are the core values that you would like to convey with the Tanzanian brand to foreign investors?

MN: Well, we have many. (We are in Africa, and we are an island of peace and stability) Lugha!!!!!!!.

We are a force when it comes to integrating Africa. We helped other countries of Africa to gain independence; we are now in the forefront of integrating Africa so that we become one big continent with one voice.

This is a continent where the economic growth right now is very high, where when you invest and the return on what you invest is very high, and given that we are in Africa, and we are a stable country, those benefits will be more obtainable in Tanzania than elsewhere.

We are a very, very big sleeping giant and have a lot of natural resources, we are an open economy and I think these are attributes that any investor would like to find.

We are also very strategically located, in the middle of Africa, so we are a gateway to other African countries.

We have six landlocked countries around us which use the Dar es Salaam port so it is not just a question by of advertising ourselves, it is a reality: we are a gateway to other African countries and to Europe as well".

Huyu na Sofia Simba??????? Lakini nami nkiri hii ni carbinate ya manyani.

This is extremely embarassing to entrust a Minister with expectation of promoting "Tanzanian brand" while she can not understand and explain the "core values" which are supposed to drive Tanzanian brand to foreign investors. This demonstrates that we are having leadership crisis accross the board in terms of competencies and moral values.
 
ngekuwa anaitwa KHADIJA MOHAMED mngeona maneno yanavyovurumishwa

wagala kwa kulindana hamuwezekani
 
sasa huyu naye kawakosea nini wana JF?

Kwa vile kasema sisi ni very, very sleeping giant. (nimeachwa solemba hapa na ung'eng'e)
Halafu kwamba return ya investers ni kubwa TZ kuliko kokote Afrika, maana hawlipi kodi. (3% approx to zero)
mimi hapo nimeachwa gizani.
 
Hapana. Lets be fair to the lady. Kama mnamuhukumu kutoikana na interview hii, basi mnamuonea. Majibu yake yote kwenye hii interview ni mazuri. Sijui watu wanaosema kafanya makosa hapa walitegemea ajikite kwenye nini? Au walitaka aseme Tanzania inahitaji misaada?

Mbona amejibu vizuri kuhusu hitajio la wawekezaji kutumia fursa pekee ya Tanzania kujenga thamani? Mlitaka asemeje, kuwa wawekezaji ni wabaya na hatuwataki? Mlitaka aseme Tanzania ni nchi pekee duniani isyopenda wawekezaji wakubwa? Halafu nchi inavyozidi kuwa jinga jinga kwa kukosa ajira, mzunguko wa pesa na serikali kuwa ombaomba kesho, mtakuja hapa JF na kulalama.

MNATAKA NINI WATANZANIA WENZANGU WAPENDWA?????
 
HUYU NDIYE ALIYEIUWA COSOTA, KWA KUGOMA KUPITISHA BODI YA COSOTA KUANZAIA 2007 MPAKA 2009(HATA BAADA YA KUKUMBUSHWA KATIKA BUNGE LA BAJETI 2008 NA 2009 NA MHE.MLATA), NA HATA ALIPOPITISHA BODI HIYO ILIKUWA NA WAJUMBE AMBAO HAWAKUCHAGULIWA NA WANACHAMA KWENYE MKUTANO MKUU WA COSOTA 2007, KWA RUSHWA YA WAZI MMOJA WA WAJUMBE WA BODI HIYO ALIKUWA MHE. MLATA AMBAYE ALIKUWEKO KATIKA BODI YA AWALI YA COSOTA NA HAKUHUDHURIA HATA KIKAO KIMOJA. BIF LAKE NA COSOTA LILIANZA PALE AMBAPO ALIPITISHA KIKARATASI (2006/2007) kwenye kila idara ya wizara ya viwanda na biashara akichangisha pesa za kumsaidia kuingia katika NEC ya CCM, uongozi wa COSOTA wakati huo ukamnyima mchango. UOZO HUO UMEIFANYA COSOTA SI CHAMA TENA HURU BALI IDARA YA SERIKALI KUTOKANA NA BODI NZIMA KUWA IMECHAGULIWA NA SERIKALI NA SI WANACHAMA
 
Hapana. Lets be fair to the lady. Kama mnamuhukumu kutoikana na interview hii, basi mnamuonea. Majibu yake yote kwenye hii interview ni mazuri. Sijui watu wanaosema kafanya makosa hapa walitegemea ajikite kwenye nini? Au walitaka aseme Tanzania inahitaji misaada?

Mbona amejibu vizuri kuhusu hitajio la wawekezaji kutumia fursa pekee ya Tanzania kujenga thamani? Mlitaka asemeje, kuwa wawekezaji ni wabaya na hatuwataki? Mlitaka aseme Tanzania ni nchi pekee duniani isyopenda wawekezaji wakubwa? Halafu nchi inavyozidi kuwa jinga jinga kwa kukosa ajira, mzunguko wa pesa na serikali kuwa ombaomba kesho, mtakuja hapa JF na kulalama.

MNATAKA NINI WATANZANIA WENZANGU WAPENDWA?????
Tangu awe waziri mwandamizi ile wizara wewe unaona imekaa sawa?

if so kwa nini investors wanazidi kwenda Kenya, Mozambique na Rwanda huku sisi tuko pale pale?

BRELA iko chini yake unaona kashafanya nini kuifanya iwe efficient ?
 
TI: So what are the core values that you would like to convey with the Tanzanian brand to foreign investors?

Totally out of points.... Giving wrong responces to the above questions shows how we fell from the first place, we don't have people at the right place. This mum is Phd hold but the way she responds to an interview especially to the above question is very shame to the nation. If the head of the ministry doesn't know how to market his country then the whole department is rubbish to say. Our country Core values in relation to investors our Mum is empty totally hit out of bushes....very pit and sad to the whole ministry..
 
Wiki hii kwenye mkutano wa wafanyabishara Mhe Mary Nagu katika kujibu swali la Mwenyekiti wa TPSF kuhusu mtazamo wa viongozi wa Serikali kuhusu ushiriki wa wazawa kwenye sekta ya gesi, aliwahakikishia wafanyabiashara kwamba mtazamo wa Badhi ya viongozi (akimlenga Prof.Muhongo) umebadilika kuhusu uwezo wa wazawa kushiriki kwenye biashara hiyo. Lengo langu sio kuongelea hoja hiyo leo hapa, bali nilipenda Mhe Nagu yeye kama Waziri mwenye dhamana ya uwezeshaji atueleze yafuatayo:

1) atutajie watanzania watatu waliowezeshwa chini ya Wizara yake. Watanzania hao ni akina nani? Wapo wapi? Wamepiga hatua gani? Atakapotuletea majibu haya atufahamishe pia vigezo vinavyotumika kuwezesha hao watanzania.

2) Zipi wapi fedha za mabilioni ya Kikwete? Baada ya disbursement ya kwanza, wangapi wamesharejesha fedha hizo, na baada ya kurejesha wangapi wamekopeshwa tena? Wangapi wameondoka kwenye umasikini baada kupata fedha hizo

3) Njia mojawapo ya kuwezesha wananchi ni kuweka mazingira ya kisera na kisheria yatakayopelekea wananchi kukopesheka katika taasisi za fedha na mabenki nchini. Ni hatua zipi Mhe Nagu amechukua kuhakikisha wananchi wanapata mikopo nafuu kwenye taasisi za fedha

4) Ukosefu wa fursa za mikopo kwa wananchi walio wengi kunapelekea wananchi kukimbilia kwenye mikopo ya muda mfupi kwa riba kubwa "Loan sharks". Watu wengi wamepata matatizo na mikopo hiyo ikiwa ni pamoja na kuuziwa nyumba zao, kunyanyasika, kutishiwa maisha na watoa mikopo ya aina hiyo. Je Mhe Nagu amechukua hatua gani za kuweka sheria za ku regulate hawa Loan Sharks waache kutoa mikopo ghali kuliko mikopo mingine yoyote duniani. Hivi sasa zipo baadhi ya Loan shark zinatoza riba ya ailimia 100 hadi 300 kwa mwezi. Je Mhe Nagu hiyo ni sawa?

Mhe Nagu unachotakiwa ni kuwa innovative na kufikiria nje ya boxi. Hivi unashindwaje kuweka sera mahususi ya kuamua kwamba kampuni yoyote inayoomba kazi ya ujenzi Serikalini, lazima iwe na ubia na kampuni ndogo ndogo za ujenzi....ili hizo kampuni ndogo zijingewe uwezo, ujuzi na kipato? Ethiopia wanafanya hivyo, vijana wanaomaliza engineering toka Chuo kikuu wanaambiwa wafungue firm zao......na kampuni yoyote kubwa ya ndani au nje inayoomba kazi ya Serikali lazima iwe na ubia na kampuni hizo ndogo ili ipate kazi. Vilevile vijana wanaomaliza shule ya Useremala kwenye VETA wanapewa mitaji kufungua kampuni, na kazi yoyote iliyo chini ya usd 100,000 sera na sheria zao zinalazimisha wapewe hao walioanzisha kampuni za useremala. mhe Nagu hili nalo linakushinda?

Mwisho natoa rai kwa mzee Mengi, TPSF inavyotetea maslahi ya sekta ya binafsi, isiangalie wafanyabiashara wakubwa peke yake, bali pia inagalie na kutetea maslahi ya wafanyabiashara wadogo pia ambao ni wengi na changamoto zao sio kubwa kama hizo za kuwekeza kwenye mafuta na gesi. Zile programu za mtangulizi wako Mama Esther Mkwizu za matching grants (ambapo wafanyabiashara wadogo na wa kati waliwezeshwa kwa kupatiwa mitaji kuanzia shilingi milioni moja hadi milioni 100
ni vema zikaendelezwa.




You're expecting too much from this woman
 
Back
Top Bottom