Elections 2010 Mary Nagu atangazwa mshindi

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Jamani siyo kweli kuwa Dr. Mary Nagu kaangushwa.
Nagu ameshinda tena kwa kura nyingi, ila Rosemary Kamili wa CHADEMA amekataa kusaini fomu za matokeo.

Matokeo:
Nagu CCM: 38,000 +
Kamili CHADEMA: 21,000 +

Hata hivyo halmashauri itaongozwa na CHADEMA, kutokana na kati ya kata 25 za jimbo la Hanang, 13 zimechukuliwa na upinzani.
 
Back
Top Bottom