Fala mdogo..Njoo tulewe achana na mambo ya elimu muda wa D layer...ndo yanakufanya unawaza upumbavu wako wa duniani hapa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unatuingiza chaka; kiongozi wa CUF hawezi kuwa kiongozi wa CCM sawiaambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees
wana budget kubwa na vingi ni vfx.Hizi muvi muda wote wao wanaharibu miundo mbinu tu, mara barabara ,majengo magorofa na madaraja vinabomoka bomoka tu
Hapo ndipo wanaponiudhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbayaDogo unakuwa consumed na non realistic issues mpaka unaogopa na kuogopesha watu. Hizo symbols na hayo mambo ni imaginary tu wala hayana relevance kwenye dunia hii.
do not take everything so serious da vinci
Na ndio maana Mawigi mzimu wa Bi Clinton unamtesa, maana ndio lilikuwa chaguo la Illuminate baada ya Obama...halafu mbaya zaidi mipango Yao hairudi nyuma kusema Bi Clinton arudishwe, zamu yake imepita teyari24 waliwahi kuigiza Marekani ina Rais mweusi, ilikua kama kituko hadi Obama alipokamata US.
Baadae walileta mwanamke, sijui hesabu ziligonea wapi nafikiri pua ilikua maandalizi ya Clinton.
Hizi movies wakati mwingine zina mambo mazito nyuma yake licha ya kuburudisha.
Kwa hiyo kwa kuwa ame - declare kuwa yeye si Msabato umekubaliana nae.? Angalio hoja na si Mtoa hoja!
THANOS NDO MPINGA KRISTU NA MWISHO WA MOVIE ALIFELI KUTIMIZA AZMA YAKE.Why?
Kuna vitu unaandika hapo ni mada kabisa niliyoandika bado tu kuipost humu.THANOS NDO MPINGA KRISTU NA MWISHO WA MOVIE ALIFELI KUTIMIZA AZMA YAKE.
ushauri wa bure kwako davinci
Achana na ma conspiracy theories zisome na uziache kama story. Jitahidi kubase kwenye mainstream topic utaifaidi elimu na utapata maarifa mengi sanaa. Madhara ya ku believe in conspiracy theories ni kwamba itakunyima uhuru wa kuchambua bahari ya maarifa.
nna declare interest mimi ni fans mkubwa wa marvel cinematic universe nimetazama film zote 23 kuanzia ironman mpk avenger endgame.nimezirudia kuzitazama zaidi ya mara kumi na sasa hv naicheki tena thor: Ragnarok ili uzielewe vyema zaidi lazima uwe fans wa comic books coz ndo story imebase huko.MCU inatupa picha ya future yetu in term of technology na other aspect mfano AI Jarvis na AI Friday kwenye ironman saivi ndo google assistant,Siri (apple) na alexa (amazon). Hologram kwenye ENDGAME after tony stark death na spiderman:FFH nayo soon tutaiona kwenye uhalisia after 5D. Captain marvel ana promo feminine. Captain America ana present USA superiority. Black panther ana present black superiority. Zitazame hizi film ukiwa neutral utakubali kazi za hawa watu wa marvel na jinsi gani wanajua kutengeneza ma trillion.