Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

Nashukur sana Mkuu,kuna movie nilishawahi kuitazama miaka michache iliyopita kwenye movie hiyo muigizaji anakwenda kwa shetani kuomba utajiri na umaarufu,alitimiziwa mahtaji yake yote na shetani lkn alipigiwa mahesabu kwa muda atakaodumu ktk huo umaarufu na fedha zake kisha atakufa na atakapo kufa mwili wake utahfadhiwa na shetani mahali na viungo vya mwili vitatumika kwa matumizi mengine

Mwishoni,kila kitu kikawa kama vile walivyokubaliana na shetani...hiyo movie siikumbuki kwa jina!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnadhan ishu ya mpinga Kristo iko simple hivyo???........

hao wote kama watakuepo wkt wa utawala wa mpinga Kristo watapitia shuruba zile zile ambazo binadamu wengine watapitia!.......

kifupi, hakuna mwanadamu atakaepona kutokana na mikono ya huyo mpinga Kristo,...........

someni Ufunuo imeelezea kwa uwazi kabisa, kwamba jamaa atawaumiza wengi ndipo watu wataanza kumkubali!, sio eti kisa una chata yake ndio utapona masahibu yake!
 
Unajua ni nini, sometimes kama kuna joto unachukua maji kwenye friji unakunywa au kama kuna baridi unavaa sweater then unatoka nje, unatembea kidogo u meet people u smile a little. For once in your life just try to do something that make your mind at easy. Ukifatilia kila kitu katika hii digital world hutaishi. Life is too short mengine acha yakupite tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Biblia inasema angalieni na kesheni
 
Salute..
59c9ce8cd8c41815c63bec51d6ceb4d2.jpg

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..
ae97d2702fc3a29737ab526dce2dfaed.jpg

59500bcb9c2281fbfb9f8d90e96f4ce5.jpg

●Doctor Strange
a01f8b173dbc8889588b5eb5a1dee7b9.jpg

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of Aggamato
0f8f038b070e1125a0d7e12b5e596986.jpg

a3eaa5bd4e517ea18203f782e42b6779.jpg

Upande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.

46143e5fa8598e7637adde290004eac8.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
yan katka vtu vinavyonichanganya mpk Leo hii n ukwel halis kuhusu hawa wanajiita Freemason illuminati coz kila mtu ninaye muuliza au anayeleta mada hua anawazungumzia hawa jamaa kwa njia yake..
lkn najiulzaga hivi hawa n nan haswa??!
lengo lao n nn??
wanahusika na kaz gan??! na maswal mengne meng
so kama unaelewa zaid kuhusu hawa jamaa utuelezee zaid kwa proof.IVO TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THANK YOU FOR YOUR N
Salute..
59c9ce8cd8c41815c63bec51d6ceb4d2.jpg

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..
ae97d2702fc3a29737ab526dce2dfaed.jpg

59500bcb9c2281fbfb9f8d90e96f4ce5.jpg

●Doctor Strange
a01f8b173dbc8889588b5eb5a1dee7b9.jpg

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of Aggamato
0f8f038b070e1125a0d7e12b5e596986.jpg

a3eaa5bd4e517ea18203f782e42b6779.jpg

Upande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.

46143e5fa8598e7637adde290004eac8.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
THANK YOU FOR YOUR NARRATIVES. BUT IT'S TOTAL NUISANCE.
 
Nimesoma na kufafilia hizi harakati kwa Muda sasa, kama sehemu ya kuchallenge akili tu, na kupata Insight. Hawa mabwege wapo na mipango sana na hitaji umakini kuwashtukia .

Kila kundi lina tekeleza agenda kwa namna yake. Hapa kuna.

WANASIASA: hawa watu, wamekuja na mbinu za kutaka ku manupulate akili za watu na kuondoa ule msingi muhimu yaani family. Target ni kugawanya watu DEVIDE N RULE, unaweza usion moja kwa moja bt fanya tafita kidogo...

Wanakuja na ishu za ku promote mambo yatayo vuruga uongezekaji wa Watu, kama kupigia chapio USHOGA, ABORTION ,KUBANA UCHUMI ku discourage uongezakaji wa watu. Wazee wana chochoea mavita huko, but nyuma ya Pazia wao wanajua wanachofanya.. Pia kuna vita against masculinity, nadhani unajua role ya hormones za kiume (nisiende huko).

Yote kwa yote ni kutaka kukupeleka peleka, na wanashirikiana na makundi mengine kufikia malengo yao.

WANAMUZIKI: Sasa hizo agenda zao zote, muziki pia ni tool muhimu katik ku reprogram subconscious mind za watu (how n ina faida gani). mawazo ya binadamu, kinywa, feeling zinaweza kitu into existence sasa pata picha watu bilion moja, waruhusu jambo litokeee ,katik ulimwengo wa rohon ina toa engery kubwa sana ku push mambo yao, na ndoa role ya subliminal messages katik tungo na hata video zao.

(maana hata Ulimwengu uliumbwa kwa neno, vitabu vinasema aonavyo mtu mawazon mwake ndivyo alivyo, meaning mawazo yako yana uwanja mpana kueleta kitu kitokeee, pia vitabu vimeongea kuhusu Ulimi i. e kinywa na moyo pia, kama hujui uliza.) Majamaaa wana promotw ushoga sana, angalia sasa wanamuzik kibao, wana support movements za mashoga, hata wengine kukatisha tour zao katk nchi zinazo pinga ushoga... fanya tafiti.

WANASAYANSI na
WATU WA TECHNOLOGY: Hawa ndio konki aisee, wananiangusha mno. Kwanza jamaa wameanza na tafit za kipumbavu nyingi sana, wakisema tafita mpya sijui nin, mara nin. Utasikia Anal sex ni nzuri kwa afya, mara ushoga ni mtu anazaliwa nao, wanakija na chanjo kibao, zinazo induce hormonal imbalance, kuleta vifo vya watoto na hata magonjw mengi sana ambayo hayakuwepo, kifupi hizi containerz zao, vyakula vya viwandani ingredients zake zina kuvuruga slowly mfumo wa akili (sio kuwa Chiz noo, zina pungza tu utashi wa mtu na huwez wa ku resoan).

Jamaa wamekuja na mbegu ambazo haziwezi kuendeleza uzazi baada ya uvunaji, maan yake ukitaka tena kupanda lazima ukanunue kwao , vipi zikija ku take over mazima, maana yake huwezi kulima hadi uwaone, madawa na ukuzaji lazima mkono wao uhusike. So kukubana ni rahisi mno hapo mbeleni.

Incase u dont know, BILGATES n wenzake kadhaa wanatoa funds katik makampun flan ya ki technology now wana mchakato wa kuweza kubadilisha hali ya hewa, kama wakitaka mvua inyeshe kwa kiwango gani, au kupunguza mwanga wa jua, radi, vimbunga n. K

Kama hufaham hiii technology ipo kitambo sana, ndio maana hata mikataba ya Genevieve, ili katazaga NCHI MBILI ZIKIWA KATIK VITA, HAITAKIW NCHI MOJA KUBADILI YA HEWA YA NCHI INGINE ( JIULIZE WHY WALIKUBALIANA HIVI)

TAASISI ZA UMMA, Dini n. K nitazigusa nikipata wasaaa
 
Back
Top Bottom