Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,432
- 105,853
Salute..
Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.
Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.
●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..
●Doctor Strange
Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of Aggamato
Upande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk