Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,316
2,000
24 waliwahi kuigiza Marekani ina Rais mweusi, ilikua kama kituko hadi Obama alipokamata US.

Baadae walileta mwanamke, sijui hesabu ziligonea wapi nafikiri pua ilikua maandalizi ya Clinton.

Hizi movies wakati mwingine zina mambo mazito nyuma yake licha ya kuburudisha.
Na ndio maana Mawigi mzimu wa Bi Clinton unamtesa, maana ndio lilikuwa chaguo la Illuminate baada ya Obama...halafu mbaya zaidi mipango Yao hairudi nyuma kusema Bi Clinton arudishwe, zamu yake imepita teyari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
608
1,000
BAADA YA ENDGAME NA FAR FROM. HOME ULICHOKIELEZA NI CONSPIRSCY THEORY.
 

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
608
1,000
THANOS NDO MPINGA KRISTU NA MWISHO WA MOVIE ALIFELI KUTIMIZA AZMA YAKE.
ushauri wa bure kwako davinci
Achana na ma conspiracy theories zisome na uziache kama story. Jitahidi kubase kwenye mainstream topic utaifaidi elimu na utapata maarifa mengi sanaa. Madhara ya ku believe in conspiracy theories ni kwamba itakunyima uhuru wa kuchambua bahari ya maarifa.
nna declare interest mimi ni fans mkubwa wa marvel cinematic universe nimetazama film zote 23 kuanzia ironman mpk avenger endgame.nimezirudia kuzitazama zaidi ya mara kumi na sasa hv naicheki tena thor: Ragnarok ili uzielewe vyema zaidi lazima uwe fans wa comic books coz ndo story imebase huko.MCU inatupa picha ya future yetu in term of technology na other aspect mfano AI Jarvis na AI Friday kwenye ironman saivi ndo google assistant,Siri (apple) na alexa (amazon). Hologram kwenye ENDGAME after tony stark death na spiderman:FFH nayo soon tutaiona kwenye uhalisia after 5D. Captain marvel ana promo feminine. Captain America ana present USA superiority. Black panther ana present black superiority. Zitazame hizi film ukiwa neutral utakubali kazi za hawa watu wa marvel na jinsi gani wanajua kutengeneza ma trillion.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom