Marvel Cinematic Universe special thread

Nahisi Black panther watamuacha kwenye BP2 kama Paul Walker, alafu wafocus na shuri kama kwenye comic.
 
Nahisi Black panther watamuacha kwenye BP2 kama Paul Walker, alafu wafocus na shuri kama kwenye comic.
Yeah shuri ndo maina character kwenye black panther.. halafu tumtegemee Namor kuja MCU kama shuri akichukua mantle ya black panther
FB_IMG_15989897397243381.jpg
 
For sure watu wako excited kwa hili... Mimi Iron man naona anakuzwa tu..
Tony !! Anajua kuigiza yaan anaonekana ni mtu fulan big brain ata kwenye avengers huwa yy ndie kiongoz wao watu walikasirika sn alipokufa kwenye end game wacha wamrudishe tu
 
Niliposoma comment nimegundua kitu kimoja watu wengi mnaangalia movie ila hamzielew sasa kwa kuwadokeza tu

Kwenye avengers infinity war spider man .dr strange .T Challa na wengine wote walikufa

Sasa avengers end game walitaka kuwarudisha shida ikawa ni mawe na yule jamaa adui kuu nimemsahau jina aligoma kusema nae aliuliwa pia na thor

Ila wakaona haikuwa sawa so wakaamua kufanya time travel kwenda kuchukua mawe ili wawarudishe sasa hapo walikosea kitu ndio lile jamaa likarud pitia mwanae ambae sio binadamu ni km alien fulan hv

Sasa kwann Mr Stack asirud watafanya time travel kwensa kumchukua na watamleta akiwa hai 2021 kitu pekee ambacho watu mtarajie ni new iron suit kutoka kwa Mr stack

Pengo la iron man halizibiki
 
Dare devil naikubali sana ila sijui why haikuletwa nyingine.

Cat woman pia niliichekigi ile ya kwanza ilikuwa mwaka 2008/2009. Ila nimeona Gal Gadot instagram anaicheza part 2.
Moja ya Seríes ambayo nilitamani isiishe niiangalie tu maisha yangu yote ni Daredevil ila waliisitisha ghafla. Kwakweli iliniuma. Charlie Cox is my favorite actor na aliigiza vizuri sana kwenye hii seríes.
Nadhani waliisitisha kwa maelekezo kutoka juu yaani Marvel cinematic universe/Marvel studios.

Inawezekana wanataka waitumie character ya daredevil kwa filamu zijazo inasemekana Daredevil atakuwepk kwenye muvi ya Spider man no way home December 2021 though bado sio official naomba Mungu iwe kweli asee yaani Charlie cox namkubali sana
Screenshot_20210423-004842~2.png
 
Muvi au ni katuni za wakubwa

Sema haujafuatilia ila ukifahamu utajua kuwa hamna watu wanaokosa utamu kama ambao hawaangalia movies za MCU unajua kuna ile connection ya kila kitu, kuna interdependence ya ajabu ambayo ukiwa fan, na unaifaham kama wengi waliosema humu wanaonekaja kujua hilo utaenjoy sana.

Maana tusiwe wabishi let’s face it Zaid ya MCU, DCEU na Disney ambao ndio Marvel wapo humo Hollywood hakuna kitu, hizo solo movies na sequels zinazotoka tangu corona ni disaster
Labda ukacheki Tv dramas za Shonda rhimes
 
Mkuu umeicheki episode ya Mwisho ya What if...?
Mpaka sasa MCU strongest character kuliko wote ni Doctor Strange Supreme hakuna cha Thor,Cap Marvel,Wanda,Vision, Steve nk.
Doctor strange supreme ni nouma asee...
Kunguru wa Manzese nadhani ubishi wetu umeisha wa nani powerful character
1633767899876.png
 
View attachment 1969098

Ndugu yang nimeishia ya “What if Thor angekuwa the only son” episode,ana act kama spoiled brat..
nlikosa mda sema namalizia hizo zilizobaki hii weekend ... pamoja na hayo Dr strange ndio anaonekana the strongest kama ulivyosema.
 
Mate umetazama Hawkeye?? Sijaipenda kiivyo ngojq niipe muda. Nahisi ujio wa Echo mcu utakua ni mwanzo wa kuja Daredevil maana kuna uvumi kua Kingpin yumo kwenye hawkeye. Yaani naomba sana Mungu Daredevil awepo afu aigize Charlie Cox kama kawaida
 
Cox ni Embodiment ya Daredevil...yeah nmeanza kuangalia niko halfway episode ya pili ila mpaka sasa sijapata ile kimbiza kimbiza niliyoifikiria.
kiukweli mm ni shabik mkubwa wa Hawkeye naomba asiniangushe ukizingatia Christmas ndio wakati wangu pendwa wa mwaka.

Nategemea itakuwa inaendelea kuchangamka kila episodes ...kama ulivyosema tuipe mda.
quick question, are you british?
 
Back
Top Bottom