Marvel Cinematic Universe special thread

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
1,589
2,000
Da'Vinci mkuu naomba nieleze kidogo kwanza me nilikuwa mtu ambaye sifatilii sana movie za super hero sanasana Sasa kuna kitu kinanitatza hiv ilikuwaje Capt America akaweza kuitumia nyundo ya Thor kwenye Avengers endgame wakati ukiangalia hata Hulk ilimshindwa je kuna mechanism gani apo?

...Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor

Odin alisema hivyo kwahiyo Rogers alikuwa worthy ndio maana, uliona aliweza kuisogeza kidg kwenye Age of Ultron
 
Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
1,589
2,000
Jorge WIP MrConveter shukran sana wakuu but pia naona kama Capt America ndo kama vile kiongozi kwenye Avengers au nipo wrong?

Tony alimpiga ndogo cap akawa anasema

“actually he's the boss, I just pay for everything and design everything, make everyone look cooler”

Kwahiyo yeah upo sahihi, halafu pia yeye ndio kikongwe kwahiyo ana hekima... thor ni brat
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
1,245

Kikongwe nani cap au tony?
 
Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
31,215
2,000
Well, kwenye Comics kiongozi wa Avangers ni Steve Rogers ila baada ya Tukio la Civil War kiongozi wa Avangers alikuja kua Tony stark. Ndio maana kwenye muvi ya Avangers infinity way Cap hakuvaa nguo yenye bendera wala nyota maana yake he's out of law coz that time alikua bado ni fugitive of the law. Kwenye muvi wanaonyesha tony na Cap wote ni viongozi.
Cap ndio kikomgwe Coz alikua ana 97/6 yrs.

____
Naweka ahadi hapa kama MoM itafikisha 1.2B$ basi nitaacha kushabikia Marvel Studios. Wiki Sasa hata 600M hawajafika.

Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
7,744

Sasa kama imekuwa banned Arab countries na China unategemea nini hamna kitu hapo
 
Born1703

JF-Expert Member
May 17, 2020
1,245
2,000
Kwa aliyekwisha ona Morbius.... Nahitaji maelezo sijaielewa vizuri.
Hiko
JPEG_20220515_181840_3893788823745395055.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom