Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,642
- 2,000
Da'Vinci mkuu naomba nieleze kidogo kwanza me nilikuwa mtu ambaye sifatilii sana movie za super hero sanasana Sasa kuna kitu kinanitatza hiv ilikuwaje Capt America akaweza kuitumia nyundo ya Thor kwenye Avengers endgame wakati ukiangalia hata Hulk ilimshindwa je kuna mechanism gani apo?
...Whosoever holds this hammer, if he be worthy, shall possess the power of Thor
Odin alisema hivyo kwahiyo Rogers alikuwa worthy ndio maana, uliona aliweza kuisogeza kidg kwenye Age of Ultron